Recent content by Mtumbad_91

  1. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Wachungaji kututafsiria Injili Wakati sisi Wenyewe tunajua Kusoma na Kuelewa?

    Kuna watu maisha yenu yamejawa na kiu ya mafanikio lakini leoo kwenye madhabau hii Yesu atawainua, haleluya (Ameen)
  2. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

    Kwani sasa hawezi kuchunguza huo uvamizi? au muda umepita? au amekazwa tena?
  3. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania BAKITA yaonya kuhusu maneno kama Famasiala na Fautani

    Kuna mtu pia huwa anatumia maneno haya "Kitu chengine ndugu zangu...."
  4. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania Nahitaji website kwa 100k

    Kwani unataka ya kulipia hosting au ya free hosting ya blogger.com?, Kama ni ya kulipia hosting, theme na domain hiyo hela haitotosha. ila kama ni blogger inawezekana na unaweza kufanya wewe mwenyewe, Domain kwa Godaddy.com unapata kwa Dollar 0.99. Blogger themes/templates nyingi ni za chini...
  5. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna kama Jose Mtambo

    Chid benz
  6. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mechi ya Leo DR Congo Vs Ivory Coast DR Congo inashinda hii mechi.
  7. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

    Kama huyo mtu alikuwa anatimiza wajibu wake hapo ofisini kwenu, Basi Nafikiri wewe na hao wenzio ndo wenye shida.
  8. Mtumbad_91

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna vijineno Serikalini hakuna hela, ni kweli…

    Anaupiga mwingi.
Back
Top Bottom