Recent content by Mtulivujohn

 1. Mtulivujohn

  Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

  Kwanza hongera kwa uvumilivu huo pili hongera kwa Imani na subira hiyo Nakushauri usikate tamaa mungu ana maana yake kwako
 2. Mtulivujohn

  Ni wakati gani sahihi kufanya uhamisho wa mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza?

  Wakuu habari zenu poleni na majukumu. Ningependa niulize hivi uhamisho kwa mwanafunzi anayeenda kuanza kidato cha kwanza ingefaa nifanye mchakato kwa mda Gani je huu ndo mda wa kufuatilia wakati bado hawajapangiwa shule? Je kuna haja niende hiyo shule ninayotaka ihamie? Kwa mda huu au...
 3. Mtulivujohn

  Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

  Sawa mkuu nitafanya hivyo kqbla hawajapangiwa sio
 4. Mtulivujohn

  Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

  Kunjua moyo kivip mkuu au kunyoosha mkono nini maana Mimi nlikuwa nataka aanzie tu apo ninapotaka
 5. Mtulivujohn

  Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

  [emoji23][emoji23][emoji23]tafunatafuna haooo bhanaa wanakwamisha mambo
 6. Mtulivujohn

  Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

  Ooorr sawa kwahiyo si mpaka kwa mkuu wa mkoa aiwezekani process online
 7. Mtulivujohn

  Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

  Nashukuru Sana kamanda na je Hailazimu kuwa serikali mpaka ndo ikupangie? Kama kilakala na msalato Au una uwezo wa kuhamia tu
 8. Mtulivujohn

  Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

  Wadau natanguliza shukrani kwa yeyote aliejitolea kunipa mda wake na uelewa wake kuhusu swali langu apo juu, Wadau naombeni ushauri Pia msaada kwamba kuna mwanafunzi amemaliza la saba mwaka huu na amefaulu na nataka nimhamishie shule za sekondari za mkoa wa tanga Au Kilimanjaro je process zipi...
 9. Mtulivujohn

  Msaada: Kozi nzuri ya masters kwa aliyesoma BSc Ed (Mathematics&Geog)

  Tatizo la sisi waafrica tunajaza mzigo kichwan na vyeti kwenye mafail bila kutumia tulicho nacho akilin kwa kujiendelezea fikiria ulicho nacho badala ufikirie ugundue Nini kupitia Elimu iyo tofauti n mwingine tunangangana ushindani wa kuongeza vyeti life is co short ishi kwa gepu nakushauri tu...
 10. Mtulivujohn

  Kuna shida yoyote nikichelewa kuripoti chuoni?

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbinguni Kuna maspanaaa kwakooo[emoji2923][emoji3548][emoji2923][emoji374][emoji375][emoji23]
 11. Mtulivujohn

  Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

  Ni shule maalum ama ya serikali ila sio maalum na je upatikanaji wake HAINA masharti Sanaa
 12. Mtulivujohn

  Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

  Mkuu hiyo shule zotë mbili kupata ngumu sanaa imekazwa masharti mkuu
 13. Mtulivujohn

  Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

  Wadau kwanza nawasalimu kwa upendo wa mungu nina matumaini wazima wa Afya. Bila shaka Nina matumaini apa nko mahali sahihi ya watu wenye uelewa tofauti tofauti ila nina imani nikikutanisha mawazo yao nitapata wazo la kuifanyia kazi Ninaombeni kwa mwenye uelewa Kama kichwa kinavyojieleza Mimi...
Top Bottom