Mtulivujohn
Member
- Nov 2, 2018
- 43
- 17
- Thread starter
- #21
tafunatafuna haooo bhanaa wanakwamisha mamboMwanachuo na ka form one wapi na wapi! Yaan uache ukuu wa mkoa ugombee ubunge!
tafunatafuna haooo bhanaa wanakwamisha mamboMwanachuo na ka form one wapi na wapi! Yaan uache ukuu wa mkoa ugombee ubunge!
Kunjua moyo kivip mkuu au kunyoosha mkono nini maana Mimi nlikuwa nataka aanzie tu apo ninapotakaUshauri wangu ni hivi.....
Kwanza subiri binti apangiwe shule na serikali, kisha mpeleke akaanze kusoma kwenye shule aliopangiwa.
Baada ya miezi mitatu, zua la kuzua kisha nenda kwenye shule unayo hitaji kumuhamishia binti. Kisha omba nafasi ili binti ahamie (jibu utaambiwa zimejaa), kisha kunjua roho ili upewe nafasi ya muda na kisha kamuhamishe binti na mengine utajiongeza