Recent content by mtukwao12

  1. M

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    lakini nimesikia kuwa siasa za bongo zinatawaliwa na watu wasiokuwa na akili sawa sawa wenye wingi wa skendo. ashukuru mungu tu vyombo vya habari vinampenda la sivyo angekuwa ameshaqchuja zaidi ya lyatonga. KWELI NIMEAMINI SLAA + MBOWE = JANGA LA KITAIFA. MBOWE MWOMBENI RADHI SHIBUDA HARAKA...
  2. M

    CHADEMA haikamatiki Arumeru-RAI

    gazeti limejikomba tu hilo ukweli ni kwamba sioo rahisi kwa CDM yetu hii kushinda ARUMERU hata YESU ashuke. mbowe amedhoihiorisha ni jinosi gani ana ubaguzi wa wazi wazi ndani ya chama yaani yeye amehamia arumeru na kukataa kusaidia kata yoyote tanzania kati ya kata ozte nane zinaozgombewa?.
  3. M

    Chadema: JK vunja Baraza la Mawaziri

    wewe unahema kwa taha kweli? au ndo kiraza ninaekuzungumzia hapa?
  4. M

    Chadema: JK vunja Baraza la Mawaziri

    Chadema hii ya mbowe kiraza inapata wapi uhalali wa kuwahoji viraza wenzao? mbona chadema wao ndio walitakiwa waivunje sekretarieti yao kabla hii ya JK?
  5. M

    CHADEMA yaibomoa CCM Kibaha vijijini

    nasikia ccm wametangaza kujitoa kugombea tena majimbo yote ya kibaha yaani mjini na vijijini. ila sina hakika kama ni kweli. tutumie picha za huko basi tupate kuziona.
  6. M

    Ushauri kwa Chadema: Napendekeza Lema awe mkuu wa kampeni huko Arumeru

    yaani wewe una mawazo mgando sana..sasa lema atasaidia nini kule zaidi ya hotuba zake za ku copy na ku paste tu?...watu wa Arumeru hatutaki hotuba za malcom X wala Bicco sababu hazitatusaidia chochote, tuleteeni mawazo mbadala na sio kelele zao zisizokuwa na mwisho.
  7. M

    John heche yuko wapi?..nimemiss matamko yake

    kweli aisee hata mimi nimelikumbuka sana jembe langu.
  8. M

    John heche yuko wapi?..nimemiss matamko yake

    Wakuu ni kitambo sasa sijayasikia matamko ya mwenyekiti shupavu wa Baraza la vijana wa chadema a.k.a BAVICHA...natamani sana kumsikia akitoa maoni yake kwa njia yake ile ile ya matamko na maandamano ili atupe route zake zile jamani... huyu jamaa ni kiboko sana na akijipanga vizuri anaweza kuja...
  9. M

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    namkubarigi sana huyu jamaa...sema tu anachanganya dini na siasa...
Back
Top Bottom