Recent content by mtukiasi

  1. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Makontena zaidi yamefichwa huku

    Shindwa shetaniii..ameeen!!
  2. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Je, Matumizi anayoyakataa Magufuli hayakuidhinishwa na Bunge la Bajeti?

    Uozo bado upo mwingi sana kwenye budget ya serikali coz budget ipogo soo iflated sana kwa manufaa ya wapigaji anyways mwanzo mzuri mkuu wa kaya akiendelea na huu moto lazima kitaeleweka tu!!!
  3. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Ashrafush mwambie aliyekuuzia akutumie password inatoka fasta hiyo unless ni ya wizi which is very dangerous!!
  4. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Nimekutana naye kwa mganga wa kienyeji.Je anafaa kuwa mke?

    Hapo ndo mnaendana man usimwache huyo ni perfect match kwako...baadae itakuwa fun story mkisimulia wajukuu zenu vile nyie mlikutana wapi hehehee!!
  5. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Tume huru ya uchaguzi inapatikana vipi?msaada kwenye tuta...!!
  6. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanibambaa na Kondom moja, sasa anataka kujua mbili zilikwenda wapi

    Pastor siku anawafungisha ndoa alisema mpendane kwa shida na raha..shida zenyewe ndo hizo sasa!!!
  7. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli ashindwa kuhutubia baada ya kuzomewa

    Huu uchaguzi mpaka upite tutajionea mengi sana watu wasipomshangilia Magufuli ni wahuni na wanywa viroba kaaazi kwelikweli!!!
  8. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Mshitakiwa wa ugaidi aonyesha alivyolawitiwa na Polisi Mahakamani

    Police brutality at its best..ugaidi ni issue nzito sana sema hawakustahili kutendewa hivi na polisi kama ni kweli zichukuliwe hatua dhidi ya hawa polisi.
  9. mtukiasi

    JamiiForums Tanzania Lowassa akumbwa na aibu ya Jangwani Mpanda - Katavi tena

    Tutasikia mengi safari hii ya ukweli na ya uzushi iliyobakia kila mtu achanganye na za kwake then ajiongeze come Oct 2015
Back
Top Bottom