Recent content by Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

  1. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Je, serikali inalichukuliaje suala la vijana kuwa mateja? Hali ni tete

    Sio kujitakia ni ajali tu mtu kutokujua madhara YAKE na Aina ya marafiki... Sasa Kama njia Ipo ya kuzuia serikali inabidi iweke vizuizi vikali na sheria kali maana ni Hatari kwa afya
  2. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Je, serikali inalichukuliaje suala la vijana kuwa mateja? Hali ni tete

    Bwana Yesu Asifiwe! Hii Picha imenitisha sana hivi mtu kweli hauoni huruma kumuuzia mwanadamu mwenzako Kitu kinacho mmaliza maana mkono wa huyu TEJA umejaa MAKOVU ya sindano hivi hawa wanadamu wenzetu huwa hawasikii maumivu. Je, serikali inalichukuliaje suala la vijana kuwa mateja maana hali ni...
  3. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    KIFO NI FUMBO WAPI... KUNA UMRI UKIFIKA INABIDI UKUE KIAKILI SIO UNAKUA MIAKA TU SASA KWA UZEE WAKE YULE NI MDA WA KUHANGAIKA NA MIPIRA NA KAMA ALIKUWA ANATAKA MPIRA SI ANGEANGALIA NYUMBANI KWAKE. MUNGU HAPENDEZWI NA KIFO CHA MPUMBAVU.
  4. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

    Sasa maisha kama haya yanatofauti gani na Tanzania YANI UTOKE MBALI UJE UISHI GHETO MAISHA YA KIMCHOMOKO haa we vipi kujipanga ni muhimu mtoto wa kiume usiondoke kama wale Madogo kafanya msala nyumbani anatoroka kindezi Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
  5. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

    Maisha kweli ni Popote ila kujipanga ni Muhimu sana usiondoke kindezi sana kwani inaweza kuku cost lazima uondoke hata unamtaji wa kuchoma nyama lakini maisha ya michomoko na ishu Zingine Za ovyo sio. Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
  6. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mchomoko Afrika Kusini

    Imeandikwa Na Bosco Ukisikia South Africa Haraka haraka unachanganyikiwa na kuona ni nchi yenye pesa na kazi nje nje hapana haipo hivyo kwa miaka hii maisha ya wabongo wengi South Africa ni michomoko (MICHOMOKO) michomoko ni uwizi yani mwizi akiona mtu kaondoka kwenye ghetto lake Au nyumba yake...
  7. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Shia vs Sunn vs Hadia. Nini chanzo cha ugomvi wa hawa wasilam wakati wote wanuabudu Allah na Qur'an ni moja?

    NGOJA WAJE MIMI NI MWEBRANIA NAMUABUDU YESU WA GALILAYA ALIE ZALIWA BETHLEHEMU NA KUKULIA NAZARETH
  8. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na baba yangu

    Yani Ukapige Magoti Kwenye Kikaburi Cha Bibi Yako Ndio Akusamehe Huyo Baba Atakuwa Mchawi "HOLD ON MWANANGU YESU NI MWEMA SHIKILIA HAPO HAPO"
  9. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Serikali haikuwa mpango wa Mungu, duniani hakuna haki. Akili kichwani!

    Sikatai Sasa Hivi Wapigaji Wapo Kila SEHEMU NI KUWA MAKINI TU
  10. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania Serikali haikuwa mpango wa Mungu, duniani hakuna haki. Akili kichwani!

    Ndipo wana wa Israel wakamwambia SAMWELI Nabii Tufanyie Mfalme Ili Na Sisi tupate kuwa kama mataifa mengine basi neno hili likawa baya kwa Samweli Nabii "Lakini Bwana Mungu Akamwambia Samweli Usikasilike Maana Hawajakukataa Wewe Bali Wamenikataa Mimi Bwana MUNGU NISIWE MFALME WAO".
  11. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania mwingine auawa kwa kuchomwa kisu nchini Afrika Kusini

    Maisha ya South Africa ni Hatari sana kwa mtanzania
  12. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania mwingine auawa kwa kuchomwa kisu nchini Afrika Kusini

    South Africa sio nchi ya Kuishi mtanzania tena maana sio salama kabisa Usiende South Africa ni Hatari watu wanatumia sana Visu. Mtanzania huyu Anaitwa jumanne Ameuwawa Kwa Kuchomwa kisu nchini South Africa katika mji wa Slovo Cape Town chanzo mpaka sasa hakijulikani taarifa hii imetolewa na...
  13. Mtu Wa Mungu Kutoka Yuda

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania auawa kwa kuchomwa visu nchini Afrika Kusini

    Unaenda Tu Kiroho ngumu
Back
Top Bottom