Hili swala la Matumizi limekua tatizo kubwa hasa kwenye uongozi wa Africa.
Kuna vitu vya muhimu lakini havipewi kipaumbele. Na hii imetokana viongozi kujibatiza jina la Uheshimiwa Na kulikataa jina la Ndugu.
Unapo jiita MH maana Yake unajitengenezea kadunia kako pekeyako Na kujitenga Na watu...
Mimi nj mdau wa muda mrefu wa unga wa ngano wa Azam. Lakini kwa sasa unga wenu umepungua sana ubora.
Hauna ubora wa mwanzo umekua hauna quality umekua kama umechanganywa Na unga wa mahindi.
Ukiukanda unakua kama mpira halafu hata ukitengenezea Maandazi hayawi soft kama zamani Na unanyonya...
Tatizo Lenu Vijana mnajifunza kwa watu waliofeli. Badala ya Kujifunza kwa watu waliofanikiwa.
Vijana wengi Mnajifanya Mnajua kumbe Hamjui. Ili Ujue nilazima Uwe mjinga ili Ujue.
Ndio Maana mnaoa Na ndoa hazidumu hata mwaka 1
Sisi tupo kwenye ndoa zaidi ya miaka 30 tunadunda Mjini Na Maisha...
Ifikie Maala Hawa wabunge wapunguziwe mishahara pamoja Na maposho.
Mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa.
Mishahara pamoja Na posho ndio chanzo cha wabunge kutunga Na kupitisha Makodi ya Ajabu Ajabu.
Wakati wa Magufuli. Hatukuona makodi ya Ajabu Ajabu Na Bado nchi ilipiga Maendeleo.
Leo...
Sasa kama Mama Anaenda kuomba mikopo lukuki Unategemea nini? Sasa hivi majambazi yamerudi maana Yanatetewa tena Wanao onekana kutaka kukata mirija yao wanaambia waacheubabe sasa unategemea Nini?
Tuna safari ndefu sana kufikia nchi ya Ahadi. Panya wana nenepa kwenye sufuria la Unga.
Nchi hii Kuna watu Ambao hawakutakiwa wawepo kabisa mmoja wao ni wewe.
Shida yenu Machawa hamjui taabu watanzania wanayopitia.
Uzembe mazoea wizi Na Kutokuwajibika kwa watendaji wazembe kuna Fanya taifa letu kuchelewa kwenye maendeleo.
Nikwambietu wakina Makonda wapo wengi sana. Hawatazimwa...
Sasa kosa la Magufuli ni lipi? Kama viongozi wenyewe hawataki kuishi dodoma kosa la magufuli ni lipi?
Tatizo la viongozi ni kuishi kwa mazoea Mwili uko dodoma akili zipo dar.
Ilitakiwa ipitishwe sharia bungeni kwamba serikali yote ni lazima iwe dodoma kinyume na hapo ni uvunjaji wa katiba ya nchi.
Umenifikirisha sana Mjomba. Keki inatafunwa Na watu wachache sana. Ukiwa chawa Unaelekezwa zilipo unajichoteatu.
Mungu tusaidie watanzania hali siyo Nzuri japo viongozi wanasema ni nzuri labda kwao.
Sijui tumerogwa Na nani? Mirathilimali kibao bado tunakuwa maskini Na kutafuta mikopo.
Hivi tumeshindwa kabisa kusimamia rathilimali tulizopewa Na Mwenyezi Mungu.
Hivi waarabu wamewezaje kusimamia Mafuta Na Gess ikawa patia maendeleo makubwa?
Mimi nadhani ni ukosefu wa viongozi wenye hofu ya...
Nchi hii Inahitaji Maombi Na kukanyaga Mafuta. Anapoinuka kiongozi Mzalendo Na mwenye kuioigania nchi Yake Na walarushwa, Atachafuliwa sana.
Mfana Ndg Makonda.
Huyu bwana Anafanya vizuri sana pale Arusha.
Lakini wameinuka wanaojidai watetea haki za binadamu ndani ya chamq Na nje ya chama...
Jombaa hivi ukipiga mahesabu ya matumizi yako ya mwaka mzima na sadaka ulizo mtolea Mungu Mzani wako Unaelemea wapi?
Sasa Kama mzani wako unaelemea kwenye matumizi basi kwa Mungu wewe ni Mwizi Na huna faida kwenye Ufalme wa Mungu Mjomba.
Hivi kama Unaakili timamu Mungu Anakupa Uzima...
Yesu Hana Dini wala Dhehebu. Madhehebu Na dini hayatokani Na Mungu.
Madhehebu Na dini yanatokana Na wanadamu kama njia ya kumtafuta Mungu.
Yesu Atakaporudi Atakacho Angalia Wewe ni Mwanafunzi wake?
Je! Umemwamini kama Bwana Na Mwokozi wako? Sasa kama wewe ni Mfia dini Na madhehebu itakula...
Nani Hasiye mjua huyu ni Kibaraka? Watanzania wachache watadanganywa lakini wengi wanajua wapi tunaelekea Leo tumepata Haueni ya Umeme Anajitokeza Kibaraka mmoja Anaongea Upuuzi mtupu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.