Recent content by mtu tu

  1. M

    Kutolelewa Na Baba na Mama humfanya mtoto asiwe na Upendo, hii ni sababu upendo wa ndani ya jamii Zama hizi kupungua

    Hii nikweli kabisa, mbaya zaidi mtengane hata kama niyeye kaamua kuondoka kwasababu zake, afu wewe mambo yakunyokee... Atamwambia alikukataa na ndo alifanya niwe maskini namengine mengi.
  2. M

    Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

    Nilimaliza mwaka ambao mtoto aliyelelewa, alisainiwa wcb, yule anayemuombea baba yake ukilema.
  3. M

    Jamii imegoma kabisa kuhusu Magufuli? Nini kifanyike?

    uchafu ni kitu chochote ambacho kipo mahali pasipo pake, hivyo hata mtu akiwa kwenye shimo la taka yeye ndo uchafu, wanaoongea uhongo kumchafua jamaa, wanajikushanyia uchafu kibao
  4. M

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Zibeni mabomba yanayomwaga maji hovyo aisee inauma kuona watu tunaangaika na maji namna hii afu kuna sehem maji yanamwagika tu
Back
Top Bottom