Recent content by mtu mwenye moyo safi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tulioishi na kusomea Tanga na viunga vyake kwa ujumla

    Kuandika tu kiswahili hujui! Matumizi ya herufi kubwa/ndogo hujui unatuita sisi kwa kazi ipi? Acha kutia aibu Watu wa Tanga. Rudi Shuleni kwanza.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

    Moyo unaniuma sana Mungu ninakuomba umpe pepo ya juu kabisa wanaokaa mitume na Manabii,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msajili Mstaafu wa Vyama vya Siasa, John Tendwa: Katiba Mpya itaondoa migogoro ya Uchaguzi. Kwanini Rais hapingwi Mahakamani?

    Labda huko wanakaa na madukuduku kwa kulinda matumbo yao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikipata mwanamke, dada na mama wanasema hafai

    Mama Nassibu Salimu Nyage huyu
  5. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

    Pole sana Mkurugenzi wa Kibaha Vijijini Mstaafu bi. Tatu Selemani Kikwet
  6. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

    Pole sana Mkurugenzi wa Kibaha Vijijini Mstaafu bi. Tatu Selemani Kikwete
  7. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA RIP Profesa Josephat Kanywanyi

    Pumzika kwa amani Emeritius Prof. Josephat L.Kanywanywi ulikuwa mwalimu hasa wa mfano
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

    Another mjane kijana mjini ila kapata hasara kama hajafanya nae uzazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Juma lokole ni Nani?

    Juma lokole mwari wetu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Tuliowahi kuachwa na mabasi wakati wa safari

    :cool: HUU UZI NAUTABIRIA KUFIKA MBALI MAANA UNAONDOA STRESS KWA KWELI
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Tuliowahi kuachwa na mabasi wakati wa safari

    aisee asubuhi kuna balaa pale hatari mara gari hujui limepaki wapi mara mahoni mara hooo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Tuliowahi kuachwa na mabasi wakati wa safari

    hiyo ilinikuta mwaka nahisi kama 2012 natoka dom kuja dar, nikajichanganya nikanunua chipsi mayai msamvu hapo ee bwana kuja kufika ruvu tumbo linakorodeka kama mtu anakoroga zege nasikia baridi vinyweleo vimesimama bwana ee nikaenda kwa konda naomba nikajisaidia konda anasema jikaze hadi mbele...
Back
Top Bottom