Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,119
- 27,933
Ila sabuni ya unga ya Omo inawasha hatari, ila kila mtu na ngozi yakeTatizo ni mfumo wetu wa maisha watu wanachukulia vitu simplesimple tu unakuta unaenda kwenye nyumba ndoo zq kutumia hazijapangwa mtu anafulia ndoo io io anatumia kuogea huu sipend hii tabia na kuna wengine unakuta ndoo io io inatumika adi choon tena afadhal ww umesema mshindi kuna wengine wanaogea mpaka OMO
Tena sisi tunaokaa maeneo ya jiran na uswahilin ni balaa mtu unaoga sabun unatundika kwenye dirisha dogo la juu bafun watu wanaiba mpaka sabun nilichoka kwa kwel yaan sasa hv nikimaliza kuoga sabun naenda kuweka room
Yaan uku uswazi ni hatar tupu