Wengine hawajahi kufika upande wa pili wa Muungano, ukichukulia wafanyakazi wa mahoteli ya Zanzíbar ,90% wanatoka Bara, ila alokuwa hajafika ataleta kelele, vijijini Bara kuna wavisiwani kibao, wanalima n.k ila wengime ndo kama hao.
Je tunashindwa na huu wa nchi mbili, tutaweza wa Afrika nzima...