Recent content by mtotoka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya badoo

    wazee tuna mambo mengi tu ya kupost ambayo bado wananchi wanayasubiri na wanategemea tulete humu ili waone mawazo yetu ili nao wapate angalau kitu fulani sio mada kama hizi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vipi Wanaharakat Wetu Mmechoka?

    miccm noma,unaweza ukaonyeshwa hata sehemu utakapozikiwa uku.uko hai,wapi ( ulimboka )
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhujumiwa kwa ITV katika king'amuzi cha STAR TIMES Dar

    star tupu jamani,hata startv arusha haipatikani kabisa,ukiwauliza wanadai matatizo ya kiufundi ,kwanza katika king'amuzi ambacho hakina mvuti hapa nchini ndo kinaongoza,ngoja tuame kama tulivyoama vyama vya siasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo aita waandishi wa habari leo

    hii ndo tanzania yetu,lakini.sio.ileee.alioiacha baba wa taifa
  5. M

    JamiiForums Tanzania John Magufuli: Ninautamani urais!

    watanzannia mnafaa muongoze na mtu kama huyu,utawala bora utapatikana,ukiiba hata uwe na mapembe kiasi gani lazima uingie gerezani tena hata bila ya kukatwa hizo pembe zako.,na hapo ndo utakapoona kuwa nani mkuu wa nchi,sio sasa hata vijana wanaonekana nao nchi ya kwao vile tu apo ccm
Back
Top Bottom