Recent content by mtoto_wa_mantilie2000

  1. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi/kibarua nipo Morogoro

    Komaa mkuu utapata
  2. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba Morogoro

    Habarii za usiku ndugu zangu wanaJF Kama inavyoonesha hapo juu mimi ni kijana nahitaji shamba kwa Morogoro kufanya shughuli za kilimo kwa kukodisha iwe eneo lenye maji inakua inapendeza zaidi Kwa alienalo au anaejua ni wapi liko tafaadhali anijulishe hapa 0627235360 Asanteni
  3. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Kijana usie na ajira pitia hapa

    Amini kwamba Inanihusu hii [emoji848]
  4. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection kazi

    Mkuu utapata usjaal weka jitiada tu muombe na mungu [emoji1320]
  5. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    [emoji41][emoji41]
  6. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Naomba connection yoyote ya kazi. Napatikana Morogoro mjini

    Kwema wakuu Pale wamesema akuna kazi za mda labda ukitaka mkataba kuanzia mwaka na wakiitaji watu watatangaza wao
  7. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Naomba connection yoyote ya kazi. Napatikana Morogoro mjini

    we chizi kweli an
  8. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Naomba connection yoyote ya kazi. Napatikana Morogoro mjini

    Niko njiani nakaribia ofisi zao ntarudisha feedback
  9. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Naomba connection yoyote ya kazi. Napatikana Morogoro mjini

    Habari za sasa hivi wakubwa. Mimi ni kijana wa kiume Umri 22 Afya njema Napatikana Morogoro Mjini, Niko hapa kuomba connection yoyote ya kazi au tenda za kufanya kwa ajili ya kupata pesa either kwa permanent au part time itakuwa vizuri. Elimu form iv Kazi nafanya kwa ufanisi na uadilifu Kazi...
  10. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo haya ya wabeba taka leo yamenifikirisha sana

    Kweli ulikua umelala... [emoji2960][emoji2960][emoji1783] Ukute ata hakukua na wabeba taka n ndoto tu uliota [emoji41] alaf Kama tafsir ake inaeleweka mbona [emoji28][emoji28]
  11. mtoto_wa_mantilie2000

    JamiiForums Tanzania Alikuwa akinicheka naogopa wanawake lakini alikuja kunikasirikika baada ya kujua nimetoka na mwanamke wake

    ukiwa silent unakula piss nyng sana [emoji28][emoji41]
Back
Top Bottom