Recent content by mtoto1980

  1. mtoto1980

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Unatoka wapi na kwenda wapi hiyo safari ndefu?
  2. mtoto1980

    Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

    TIN NI BURE INATOLEWA TRA. LESENI NI KWA AFISA BIASHARA WA ENEO UKIPATA HIVYO NENDA KWENYE OFISI ZA MITANDAO HUSIKA UTAPATIWA LINE.
  3. mtoto1980

    Napata faida ghafi kwa siku 400,000=lakini mtaji hauongezeki

    Angalia stock zako zimeongezeka au zimepungua? Kama zimeongezeka mean mtaji umepanda.Kama zimepungua unatakiwa uwe na Cash nyingi mkononi.
  4. mtoto1980

    Kwa mtaji wa milioni 4.5, anaweza kufanya biashara gani kwenye miji iliyochangamka

    Kwa Dar 1.Vinywaji baridi na vikali 2.Nafaka 3.Duka Rejareja
  5. mtoto1980

    Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 1.5 unaweza kufanya biashara gani ambayo kwa siku unaweza kuingiza faida ya Tsh. 20,000/-?

    Tafuta eneo pale kariakoo,Nunua madeli 2 then uza maji na vinywaji mchanganyiko vya baridi.Nakuhakikishia hiyo 20,000 saa 6 mchana ushaipata.
  6. mtoto1980

    Ni biashara Gani ulianza na pesa kidogo na inakulipia bills zote,saidia na wengine 🤔🙏❤

    Kuna ndugu yangu alifanya hivi kama wewe.Aliweka duka ila target yake kubwa ilikuwa kwenye MCHELE NA MAFUTA YA ALIZETI.duka lilikuwa la rejareja target products zilimlipa sana.Mpaka leo ni mfanyabishara mkubwa.
  7. mtoto1980

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Nenda kariakoo angalia sehemu penye watu wengi kaa hapo.Tumia wiki moja tu.Kila siku amka asubuhi nenda eneo lilelile.Najua baada ya siku 7 hizo utakuwa umeanza kufanya kitu.
  8. mtoto1980

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Mtoto kamletea niksi gani? Yaani umalaya wake na tamaa zake ndio amsemee Mtoto maneno mabaya! Chupi alivua yeye. Mtoto ni zao la umalaya wake.Akae kwa kutulia
  9. mtoto1980

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Wanawake wengi mnafeli hapa "SIKUPANGA KUWA NA MTOTO ILITOKEA TU" Acheni kuongea huu ujinga na uongo kwa wanaume. Wanaume tunajua MWANAMKE ANAFANYA MAPENZI NA MWANAUME ANAYEMPENDA.NA ANAZAA NA MWANAUME ANAYEMPENDA. Wewe umezaa kabla ya ndoa,Je watoto wako watajifunza nini kwako? Umezini kabla...
  10. mtoto1980

    Je, unakumbuka nini kutoka kwa baba yako?

    BABA YANGU MUNGU AENDELEE KUKUPUMZISHA KWA AMANI. Nakumbuka mengi sana ila yapo mawili yananisaidia mpaka leo. 1.MWANANGU KAMA KITU SIO CHAKO NI SIO CHAKO TU.HATA UKIFANYA UJANJA GANI KITU SIO CHAKO SIO CHAKO TU. 2.MWANANGU HATA MAMBO YAHARIBIKE KIASI GANI USILIE WALA KUTOA MACHOZI.WANAUME...
  11. mtoto1980

    Kwanini matokeo ya nyege huathiri zaidi wanaume kuliko wanawake..?

    Kwa sababu WANAUME TUMEUMBIWA MATESO.
  12. mtoto1980

    Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

    Nimejaribu kufikilia sana, Kulingana na maelezo yako.NI KWELI KABISA HIYO RISITI NI YA BODABODA.Yaani niende kando niombe na risiti tena niweke mfukoni!!!! AMINI ULICHOAMBIWA.
  13. mtoto1980

    Ushauri: Mwanamke nimpendaye nimegundua ana mahusiano na Mume wa mtu

    Yaani simpo sana,Demu kama mmeshindwa kuelewana muache tu,Huna haja ya tukio lolote baya juu yake.HONGA PESA UNAYOWEZA KUSAMEHE ILI USIJINYONGE.
  14. mtoto1980

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Uamuzi mzuri sana, rudisha kwao ubaki na amani. Bado unahitajika mwamba kwa watoto wako wawili. Let her go.
  15. mtoto1980

    Anaomba Ushauri: Amemfumania mke wake, amemsamehe Ila bado moyo unauma

    Wewe mzee wa Kimasihara, Watoto 10 wachache sana,Yaani watu wote duniani wangekuwa ni watoto bado ningemuacha. PIGA CHINI OA MWINGINE.
Back
Top Bottom