Kwa mtaji wa milioni 4.5, anaweza kufanya biashara gani kwenye miji iliyochangamka

Kwa hapa Dar es Salaam au mikoa mingine iliyoo changamka kama Dodoma, Mwanza na Arusha kama mtu ana mtaji wa milioni 4.5 anaweza fanya biashara gani ikatoa asipate bughudhaa ya migambo
Kwa Dar
1.Vinywaji baridi na vikali
2.Nafaka
3.Duka Rejareja
 
Back
Top Bottom