Recent content by mtoto wa villagee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

    umeniboa ndo maana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania ushauri kufanya kilimo

    so bro kwa mtaji huo hyo businec inalipa?nabidi nikodishe shamba la hme lipo bt naona kama dogo!
  3. M

    JamiiForums Tanzania kweli mapenzi uchafu, na udhia............

    yap ua right hajui sheria za kwendea chumvin..anayejua atoe darasa!cz kuna mafund..dah
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

    we ndo najisi,ujinga wako ndo umaskin wako...unaweza kuta hapo hujaoga tangu mornie unajidai msafi,wakat hakuna ktu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi gilfriend wangu ana miaka 50

    we kaka huna adabu ndo maana hta unavyoambiwa ukwel una deny!ua galfriend or wife kama unaye ana shida!hedhi c uchafu ni wall imevunjika tu...acha kumdhalilisha mama yako eti mauchafu
  6. M

    JamiiForums Tanzania kweli mapenzi uchafu, na udhia............

    hvi cjaelewa au!huyu dada hatak mumewe aende chumvini?jaman ina maana mumewe hajui mambo hvyo!kuendewa chumvin kulivyo raha tu...huyo jamaa nae analoanishaje mimate hvyo,c alambe kistaarabu
  7. M

    JamiiForums Tanzania ushauri kufanya kilimo

    jaman kuna mtu hapa amenishauri kufanya kilimo cha maua,nipo arusha..mtaalamu vp hapo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania ushauri kufanya kilimo

    dah,gud advice aisee
  9. M

    JamiiForums Tanzania ushauri kufanya kilimo

    kaka cfany siri,nyway najua ntapewa kat ya laki 3 mpaka 5..cna shamba wala nini!bt nimeambiwa ikionesha matumain napewa more,ndo maana naomba msaada kwa wataalamu ili niweze kupata maximum profit so as niongezewe mtaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya DECI ipo wapi?

    kwa kwel imepaa mbinguni
  11. M

    JamiiForums Tanzania ushauri kufanya kilimo

    kaka kulima mazao ndo ningependa zaidi,
  12. M

    JamiiForums Tanzania hello

    jaman wadau nipokeen kwa mikono miwil hmu ndan,thanks
  13. M

    JamiiForums Tanzania ushauri kufanya kilimo

    wadau me nimevutiwa sana na ushaur wa humu ndani,jaman me sina mtaji mkubwa lakin nataka nifanye kilimo,nimepewa assignment ya kutafuta wazo la kilimo,ambalo gharama zake ni ndogo ndo hapo nitakuwa assisted financially,nipo arusha nimemaliza chuo ila kaz hazipo!naomba msaada wenu kwa sababu sina...
Back
Top Bottom