Recent content by Mtoto wa tajiri

  1. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Sawa mkuu ndo hiyo hiyo kumbe ninayo kwenye pc mda mrefu s1 na s2 afu sijawahi kuiwaza kuangalia ngoja nianze kucheki mzigo leo
  2. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Kuna series inaongelewa inaitwa lioness ndo hiyo ya operation za kijeshi starring mdada au?
  3. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    Darasa la saba anapomfundisha kazi mtu mwenye taaluma yake absolutely hopeless kabisa
  4. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Nchi Zenye Watu Wachache na Eneo Kubwa Zinakumbwa na High Unemployment Licha ya Utajiri wa Rasilimali? Mfano Botswana,Namibia na S/Africa.

    Namibia haiwezi kuizidi TZ kwa rasilimali hata mafuta na gesi bongo yapo
  5. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Nchi Zenye Watu Wachache na Eneo Kubwa Zinakumbwa na High Unemployment Licha ya Utajiri wa Rasilimali? Mfano Botswana,Namibia na S/Africa.

    Tanzania ina watu wengi na rasilimali nyingi kuzidi hizo nchi za bondeni na bado ukosefu wa ajira ni mkubwa kupindukia.
  6. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Poa
  7. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Wakuu vp yellow stone iko bomba?
  8. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Wachungaji KKT washtushwa uchafu wa Vyoo vya Chuo Kikuu UDOM

    Nishawahi kuona nyuzi humu zikizungumzia hali ya vyoo vya udom. Pia kama wanafunzi wanaona sawa kukaa mazingira machafu basi ni malofa
  9. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Wachungaji KKT washtushwa uchafu wa Vyoo vya Chuo Kikuu UDOM

    Kwahiyo kama wana watoto wanasoma hapo ndo wafumbie macho huo upuuzi ?
  10. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sunderland vs Arsenal Mechi ngumu sana natumai tutaondoka na ushindi
  11. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Cheltako bana
  12. Mtoto wa tajiri

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mara mia angebaki martinelli kuliko eze na madueke. Walivyoingia tzolis na bruno G ndo game ilibadilika kasi ikaongezeka kidogo. Nampenda bruno ana jicho la pasi hakai na mpira sana
Back
Top Bottom