Aliekua balozi wa yemen nchini Tanzania mwaka 1976 hadi 1983 amefariki leo hii tareh 18/1/2019 nchini yemen mkoa wa almahra.
Poleni ndugu wote na fmly wa Marhemu.
Inna lil Allah wainnaa illihi raajiun.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekua balozi wa yemen mwaka 1976 hadi 1983 amefariki leo hii tareh 18/1/2019 nchini yemen mkoa wa almahra.
Poleni ndugu & fmly ya Marhemu.
Inna lil Allah wainnaa illihi raajiun
Sent using Jamii Forums mobile app
TAHADHARI
Kuna kampuni wanajiita Street knowledge sk
Wanadai wanaagiza Magari, spares parts na accessories nyingine kutoka Japan
Wanalipwa pesa na watu na vitu hawaleti ukiulizia vitu mzigo wako unapigwa tarehe tu inaweza fika hat miezi 5
Kuna mtanzania anaishi Japan anaitwa Saidi Yasin...
Kama ni wafanya biashara mnapaswa kulipa mapato ya serkali na kodi ya pango vile vile kama mnaona haiwalipi basi mtafute sehem ingine iko kwenye uwezo wenu na muwapishe wale wanayo uwezo kwa kuendesha biashara yao kwenye hizo banda haina haja kunagania sehem haina maslahi na nyie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.