Recent content by Mtoto wa mwanamke

  1. M

    JamiiForums Tanzania Convoy nne za msafara wa jeshi la Marekani zashambuliwa na kuripuka jana nchini Iraq

    Nasubiri movie tu iletwe madukani ninunue
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wadada kukubali uchukue namba zao ila wao kuja gheto ni kama unatongoza mara ya pili...

    Tunataka tukiomba namba ajue shida kabla hatujasema?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sisi wanaume huwa tunawaacha wanawake wanaotupenda kwa dhati bila kutumia nguvu nyingi?

    Wanawake wakipenda wanapenda mazima ila wakishaingia wakaoata wanachokitaka wanaanza mizinguo japo sio wote mi aliyenipenda nilimfinya alafu nikampotezea, sitakagi ujinga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke unaweza kuacha kazi ili ulee familia?

    Mwanamke ni mlezi wa familia over sisi wanaume kutafuta mambo ya nani atatangulia mipango ipangwe tu vizuri investment ifanywe watoto walelewe vizuri maisha ya songe big up Sana mmama Strong woman
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi wakamata watu 32 kwa wizi wa Bil 2.082, ndani ya benki ya NMB

    Polisi Safi Sana kwa kazi nzuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua wewe ni...

    Mimi watu wananichukulia mpole lakini bonge la kauzu nisiyejionesha
Back
Top Bottom