Recent content by mtoto wa mikindani

  1. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu ya shule ya msingi iliyopo manispaa ya mtwara mikindani, natafuta mwalimu wa kubadilishana nae nije Arusha au moshi manispaa. 0688729956 , 0719518800.
  2. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo dodoma wilaya ya chamwino mimi nije mtwara. 0719518800.
  3. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    mtoa mada amka, usiwe mpumbavu . kijiko ni kjiko tu hakibadiliki kua uma, inaelekea ukiangalia taarifa ya habri ITV naumia sana eee! GAMBA weeeeee! tuondokee hapa
  4. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe na kundi kubwa la team Lowassa kuingia CHADEMA rasmi

    uchaguzi huu wengi wana ccm watachukua form za serikali then wanaingia nazo mitini. kifupi majimbo mengi yatauzwa
  5. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

    inauma inapoingia ee! baba liz moko hawezi kumruhusu vuvuzela nape kumpeleka lowassa mahakamani hata siku moja,
  6. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Kwa nini lowassa amepokelewa siku aliyokufa chacha wangwe?

    kwahiyo unataka kutuaminisha nini?
  7. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aenda Uswisi

    yaani jamaa kama popo yeye angani tu kila kukicha duuu!
  8. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde Mh. Lowassa!

    ungekua wewe ungeweza kuhudumia mbuzi asiotoa maziwa?
  9. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuitwa nabii kwa hili

    membe katangaza kutogombea ubunge wala hataki ubunge wa kuteuliwa endapo atakosa nafasi ya urais, sasa uwaziri mkuu huo anaupataje?
  10. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

    tuna mashaka nae
  11. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole kwenye mada moto ya Channel Ten

    dogo anatumiwa huyu si bure
  12. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    naona kama kawaida yake anafagilia madem katikika ubora wake
  13. mtoto wa mikindani

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    ni taarifa ya jana hiyo imesha expire
Back
Top Bottom