Recent content by mtoto wa mchungaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zamani mtu akiwa na mahusiano na CCM aliitwa Mamluki na Chama chake kiilitwa ‘CCM B’. Wapinzani walikataza mahusiano na CCM

    Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha yupo tayari kumfanyia mama kampeni 2025. Prof. huyo ambaye ndiye muasisi na muanzilishi wa vuguvugu la...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Clouds 360 kama hawana vipindi hivi hasa yale majadiliano kunani?

    Ok hapo nimeelewa maana nilidhani hata mzimu wa Ruge Mutahaba umewaacha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Clouds 360 kama hawana vipindi hivi hasa yale majadiliano kunani?

    Nimeona kimya wiki sasa inakatika akina Sam Mlaasali na wengine hakuna.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Makubi: Tuachane na mila na desturi potofu kuhusu hedhi

    Watanzania na wa waafrika nilitaka kuwakumbusha tu kuwa Bara la Afrika liliuzwa rasmi 1885 kule Berlin Ujerumani ambapo wazungu waligawana kilakisehemu, hivyo sisi ni watumwa wa kilakitu. Maneno ya Mh. ni ya kitumwa kwani leo wote tumekubali mama zetu kudhalilishwa kwa kufuata uzungu, haya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

    Rais anabariki kula urefu wa kamba kwa wasaidizi wake. tumefika penyewe haswa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania waruhusiwa kuingia Urusi bila vizuizi vyovyote

    Dume la dunia Putin, wengi watashangaa muda si mrefu kibla inabadilika dunia nzimz inaenda kugeukia macho yao MOSCOOOO
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mahali Mwalimu Nyerere alikataa Makabila makubwa kuongoza nchi, 2030 CHADEMA tuleteeni Freeman Mbowe

    Mpigaji, gaidi na mtumia fulsa awe rais wa nchi hii minadhani kugomea atagombea kwasababu ya mahaba yaliyopo huko Chadema lakini kumpa nchi huyoo jamaaa Kha!
  8. M

    JamiiForums Tanzania What a coincidence! Alianza Maalim Seif, Tundu Lissu na sasa Mbowe - hii maana yake nini?

    Nawaonea huruma wanachama wa kawaida wa upinzani tangia 1992 mpaka leo wenyewe wanaamini kunaupinzani kupitia viongozi wao lakini hawajui mengi yanayoendelea nyuma ya panzi na huwa wanaama vyama wakizani watapata upinzani wa kweli kuitoa CCM. Ebu fikili kama huku kanisani sisi tutawapiga waumini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Katika hari ya kushangaza dunia Putin amesikika akitangaza kuivamia Ukraine na kusema yeyote atakaye jipendekeza atazaa nae, hivi hiki kibuli ni kweli anacho au biti. Karibuni maana sielewi.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    YAANI CHOO KIMEJAA MAVI MNAYATOA CHOONI MNAYALETA CHUMBANI MNAMOLALA.( Maneno ya Dr. Slaa) Huyu mzee kama Chadema wangemjua sidhani kama wangempoteza kwa utamu wa BiG hakika huyu ndiyo Kibwetere wa Chadema. Ni Padri ambaye anakumbuka hata uchungu akiwa darasa la 3 hakika Chadema huyo ni Putin...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mlima Kilimanjaro utafutiwe Mwekezaji ili mapato yaongezeke

    KHA! mi sichangii chochote nimechokatu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, TLS na Wanaharakati ingilieni kesi ya Mbowe na wenzake ili haki itendeke

    Mleta mada Tanzania ina msaafu wake wenyewe utakuwa mwansiasa gani ujui dini ya nchi yako, Mbowe yupo sehemu salama kabisa katika muhimili unaojitegemea yaani mahakama sasa unaposema wanaharakati na hao wanasharia sijui wapitie wapi? Vumilia Mbowe mwenyewe anajua umuhimu wa muhimili huo ndiyo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni ushamba, kupanga mstari kumsindikiza Rais akienda Ulaya

    Wengi humu ni wanafiki na unafiki umewazidi ni aibu sana kwani juzi tu tulikuwa tunamsema Magu asafiri tulifikia hadi hatua ya kutaka kumsafirisha kwa nguvu kwenda hata kanchi kokote Ulaya lakini alikataa kata mpaka Sugu akawaka sana lakini alikataa wacha mama aende na asindikizwe hata akikaa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Salamu ya Freeman Mbowe yaamsha ari Mahakamani, ni ile ile ya no hate no fear

    Pilato usimtishe apangiwi pa kupiga vumilia mpaka mwisho utaona na dunia itaendelea kuzunguka kama kawaida haita simama na mambo yatakuwa kama kawaida
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sabaya yupo ndani, Mbowe yupo ndani na sasa Makonda anaelekea ndani

    Nilikuwa sielewi ule usemi wa sharia ni msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi au unakata kote kote, sasa nimeelewa kumbe msumeno pia unakata nje hata ndani. Tanazania inazidi kujipambanua kuwa nchi ya haki kwa mahakama zake kutenda haki bila kuangalia unatokea wapi. Ole Sabaya mkuu wa...
Back
Top Bottom