Recent content by mtoto wa kibopa

  1. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Jamaa alikuwa provoked. Afungwe miaka 3 arudi uraiani

    Eeeeh
  2. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Safari ya Windows: Kutoka '95 Hadi '11 na Siri Zake

    Windows 7 ni the best mpaka leo
  3. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Me Nina watumia mwaka wa tatu huu,sijawahi kujutia kwa kwelii
  4. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Nilitaka kuuliza hili swalii
  5. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    A moment ago New Add bookmark #60 Badili no Yako ya Siri ya mpesa...kwangu inafanya kazi nimebadili no ya Siri na nimerudia rudia kuingia PayPal Hadi umekubali ...naona mpesa
  6. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Badili no Yako ya Siri ya mpesa...kwangu inafanya kazi nimebadili no ya Siri na nimerudia rudia kuingia PayPal Hadi umekubali ...naona mpesa wanashida kidogo kwa upande wa mpesa leo
  7. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Unaweza kunadili mkuu jina mpaka pasword
  8. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nawatumia kitambo ni wanaitwa netsolution wapo mkabala na chuo Cha cbe dar...hawana longolongo kabisa...mwanzo walikuwa wanaringa sahizi safii baada ya savvana kumwingilia kwenye makazi yake
  9. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Yeah wametisha mpesa
  10. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Kabisa wa kupuuzwa
  11. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Una bahati account Yako ya LinkedIn imerudi salama next time usifanye hivo Tena.
  12. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Mkuu issue sio kutumia hizo kina binance,au kina skrill.the main pont ni hayo macompany ya ulaya ukiwafanyia kazi malipo yao mara nyingi ni PayPal..na hawana option nyingine..ni sawa na ww mkuu uwe mfanyakazi wa nmb unadhani mshahara wako watarecomend bank Gani kukulipa?
  13. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Acha dharau mkuu hao walugaluga ni akina nani?
  14. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania Paypal na Mpesa tanzania

    Hahahaha uzuri huamishi yaani wewe ni kuwithdraw tu kwa mpesa yako.ikingia tu kwenye account ya PayPal hapo hapo ukifungua application Yako ya mpesa unaokuta pesa yako
Back
Top Bottom