Recent content by mtoto mpole

  1. mtoto mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo madogo madogo 30 yavunjayo ndoa

    Zote sina ila 18 inanihusu sana...God helo me yooooh
  2. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

    Waiiiii sio kipaumbele kwa sasa..atushukuru thru media hiyo budget aelekeze sehem ingine
  3. mtoto mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Ifanye itoke uiiiiiw.....fanya tu iharibike your hubby is most important person kuliko unavyofikiria...
  4. mtoto mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi njia nzuri ya kumfikisha mkeo kileleni?

    Haasaaa ana balaa hatariii hahahah
  5. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Lowassa we ni nani nchi hii mpaka unagusa maisha ya watu kiasi hiki?

    Mfate monduli
  6. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono John Mnyika kupeleka tena hoja binafsi juu ya Tegeta Escrow

    Huyu mnyika 2020 asirudi kibamba akatafute jimbo jipya....anaanzaje na ya tanzania kabla hajamaliza ya kimbamba...hatujamtuma vya escrow sisi.
  7. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    Aisee yaan wanajizika mchana peupe kabisaaa..uiiiw hiv chadema yote hamna majembe ya kuperfom hizo kazi mpaka makapi ya CCM... duuuh polen sana
  8. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kama akili zao zipo kama zako wanafeli kiukweli..kwan kwenye kusahihisha ni yeye anasahihisha??
  9. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Mbona diallo mwenyewe hakunyosha mkono...wewe nani wa kumsemea
  10. mtoto mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu anisamehe ila kwa hili lazima nikufanyizie

    Duuh unamuaminije mtu kirahisi hivo...duuub
  11. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete amtambulisha Makamu wa Rais Mama Suluhu kwa Rais wa China

    Duuh huyu cheupe khaaa
  12. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Kumbe mamlaka ya juu inamuogopa Lowassa kiasi hiki!?

    Kwanini haukumtangaza...acha mihemkooo na kudandia tren kwa mbele
  13. mtoto mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wengi mjini wana pesa, maisha mazuri, magari, wamesoma lakini hawaolewi

    Wanawake wengi siku hizi wa mjini hasa wanaojiweza hawataki mambo ya kuolewa
  14. mtoto mpole

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa CHADEMA viwanja vya Ngarenaro Arusha

    Hahahahahaha haijapata kutokea afu hao hao ndo wamemchinja...kweli kikulachooooo....chenga za magu...white hair haziwezi asubiri 2025
Back
Top Bottom