Recent content by mtoto mdg

  1. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupata kazi kupitia Linkedin?

    Kwenye LinkedIn kama unataka ufanikiwe cha msingi usianze kuwatumia watu cv ovyo ovyo kisa umeona kwenye profile yake ni Hr au CEO au MD no. Tengeneza profile yako vizuri yani mtu akiview hana haja ya kuomba CV yako. Omba connection na watu yani connection watu wengi zaidi usiangalie ana cheo...
  2. mtoto mdg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kumkuta EX Girlfriend wangu anakunywa Katarama

    Hey, Nipo nje ya mada naomba nfundishe namna ya ku export parachichi uwe mentor wangu aisee. Pleaseee Need to know more about export market. Please
  3. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania A level mwaka mmoja, nifanyaje ili nifanye vizuri katika mitihani ya mwisho

    Inawezekana nkutie moyo Nmesoma 1yr A level comb ya HGL Nkafaulu kwa ufaulu mkubwa Nkapangiwa chuo SUA na nkapata na mkopo juu Na first degree nikawa bado na ule moto wa kusoma hatari. Nkahitimu na GPA kubwa ambayo inaniruhusu kuwa Tutorial wa chuo kikuu. Nmehitimu 4yrs agoo Nkutie moyo...
  4. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

    Na tunapiga hela ya kutosha kwa ajili ya zawadi
  5. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Ambae analifahamu shirika la Christ's Hope International

    Vipi interview zao zipoje
  6. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Wenye Mitaji na nia njooni tuwekeze pamoja kwenye biashara hii

    It's like littlemore
  7. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Jamani wapi ni chimbo la vifaa vya kufungia zawadi na maua, yale mabox ya kopa, round, squares na deep love karatasi nzuri za kufungia maua au wanaziita wrapping papers, ribbon za kufungia zawadi na maua, kwa jumlaaa
  8. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Kama ni Mifuko ya mahindi ile ya kinga njaa au PICS watafute directly A to Z ni kiwanda kinachotengeneza vifungashio kwa wanunuzi wakubwa
  9. mtoto mdg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliedhani ndie Mchepuko wangu bora kabisa, kumbe nae sio ni mshirikina balaa

    Yule dada wa bank ameishia wap aisee story zako nafatilia sana leo ndo hatimaye nme comment
  10. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna kampuni iliyomakini inayoweza kusitisha shughuli zake kwa zaidi ya wiki mbili kwa ajili ya sikukuu?

    Ngos local na International zote tanzania nzima kwa kiasi kikubwa lazima tufunge for December. Kuna raha yakeee sioni kam ni kitu cha ajabu
  11. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Utaratibu NSSF

    Ni mwezi mmoja tu sio 6
  12. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania CARE intl

    Habar, Kuna ambae ashaitwa interview na hawa CARE. Kwenye nafasi yao ya project coordinator. Shukran
  13. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kipindi sahihi cha kuomba kazi NGOs

    Hongera sana Mpendwa waweza share vigezo gani ambavyo huwa mnaangalia pia kama kuna fursa tunaomba utujuze mpendwa hata za data collection
  14. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

    Ntumie namba yako kwa msimu wa mwezi wa 11 But pia ntumie info za kukodi ni bei gani
  15. mtoto mdg

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

    Sheria zako za uwekezaji zipoje unatak mtu wa kulima nae au unataka kitu gani
Back
Top Bottom