Recent content by Mtonyi

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ameamua kuniambia kuwa alinisaliti na anaomba nimwache

    Nawashukuruni nyote mliochangia kwa taarifa ni kwamba"NIMEACHANA NAE"ila nimeumia sana
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu ameamua kuniambia kuwa alinisaliti na anaomba nimwache

    Ndugu marafiki nina mchumba ambaye nimekuwa nae kwa muda wa miaka 2,na kwa muda wa wiki 3 amenisumbua sana ikiwa ni pamoja na kutoongea na mimi.Leo nimemwita na kuongea nae kwa utulivu kujua kulikoni na amenieleza jambo lililonimaliza nguvu kabisa,anasema anajutia kitendo cha kunisaliti kwa kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kibanda afanyiwa upasuaji, atolewa jicho moja!

    Hii inaonyesha wazi wazi kuwa polisi sasa hawana uwezo wa kulinda raia na mali zao
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namiss sana huyu mtu msinishangae!!

    Hongera sana
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana

    Ndugu wana jamii nahitaji msaada wenu,nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 2,nampenda sana na ni mrembo sana.Hivi karibuni nimegundua ametoa ujauzito ambao alinipa taarifa kuwa anao lakini anajitetea kuwa hakuwa nao.Mbaya zaidi kwa sasa ananijibu kwa kauli mbovu sana na hata muda...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrembo hataki kulea mimba

    Kwa asilimia kubwa naamini ni mimba yangu
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja ya kurudiana na msichana kama huyu?

    Achana nae huyo ni tapeli pia umjua katoa mimba sasa si atatoa na yako pia.Songa mbele boy
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrembo hataki kulea mimba

    Helo wana jamii amani iwe nanyi,mimi ni mwanaume ambaye nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja kwa muda wa miaka 2, nampenda sana na December mwaka huu nilitaka kumwoa.Wiki tatu zilizopita alinieleza kuwa ni mjamzito na haikunipa shida maana niliona ni jambo la kheri.Lakini cha...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Thats why I dont trust women moyo wangu uliumizwa hivyo hivyo yaani kama unavyotaka kumfanyia jamaa na mimi ilikuwa hivyo,stori yako imenikumbusha mengi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Helo hi

    Helo habari zenu watanzania wenzangu,nami pia nimejiunga kwenye jamii forum basi nipokeeni wajemeni maana mimi mgeni kabisa
Back
Top Bottom