Recent content by mtolewa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuwa CDF mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama?

    Kama inawezekana kurukishwa basi Brigedia prof. Kohi anatosha. Au general Marwa. Ni vema jeshi likaongozwa na wenye jeshi lao. Sent from my itel W6004P using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

    Colorado Sent from my itel W6004P using JamiiForums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Acha kumlinfanisha mwl Nyerere na vitu vya kijinga Sent from my itel W6004P using JamiiForums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Jumapili Ya Leo Katika Misa Ya Pentekoste

    Yesu alimteua Roho mtakatifu Kama msaidizi. Soma maandiko na uache ukafiri wa kirumi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nasisitiza hili kwa wanawake wenzangu, fungueni hayo masikio mpate kusikia

    Ni kweli mkuu. For external use only
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

    Naunga mkono hoja. Ikibidi tujitenge kabisa na hii nchi ya waswahili
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa Waziri Mbarawa kutumia muda mwingi kuelezea mradi ambao watanzania hawautaki

    Reli inalipa kusafirisha mizigo. Mizigo hipatika kwa kuwa na uzalishaji wa viwanda au wa kilimo au uvunaji wa rasilimali. Sie tuna uzalishaji upi ikiwa hata liganga na mchuchuma zimetushinda
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa Waziri Mbarawa kutumia muda mwingi kuelezea mradi ambao watanzania hawautaki

    Reli kwa Africa ni usafiri wa mizigo, usafiri wa watu( wagonjwa, wenye mikokoteni, baiskeli,bodaboda, nk) ni barabara. Kama umewahi kuishi maeneo aliyotaja mtoa maada utakuwa umeelewa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Wanakaribishwa kujaribu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa Ubaguzi wa Rangi

    Serikali ifanyie kazi suala hili, wahindi ni wabuguzi sana hasa kwenye mishahara na unyanyasaji wa kitumwa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa ujenzi Jangwani kama centre kubwa ya biashara East-Central Africa inahitajika

    Nadhani jamaa alisema kipindi kile gharama ilikuwa Dola bilioni hamsini Kama sikosei
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa ujenzi Jangwani kama centre kubwa ya biashara East-Central Africa inahitajika

    Master planner wa mradi huu niliwahi kukutana naye in person sehemu fulani.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Mnyika na Viongozi CHADEMA wakutana na Rais Samia na Viongozi wa CCM Ikulu ya Chamwino - Dodoma leo 20/5/2022

    Kufikia uhuru na demokrasia kamili katika nchi yetu ni mapambano ya vita kamili. Lazima uwe na multiple specialized forces and tactics and strategies. Lazima Chadema ijipange na ipigane in both frontiers.Lazima ivipige vita vyema kipropoganda, kiuchumi, kidipromasia, kisheria,kisiasa, kiroho nk...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

    Asante kwa kumuonya. However, I guess it is too late now. Mie nimeshawasilisha kesi rasmi mahakama ya mwisho. Nimeweka maandiko yake 2 ya kuishtumu CDM ambayo nimeomba mahakama iyapitie na kuona Kama ni ya haki ama la.Nimeomba mahakama baada ya kupitia nyaraka hizo itoe hukumu dhidi ya upande...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

    Natangaza kuwa Pasco Mayalla ni Adui wa CDM na haki kwa ujumla.
Back
Top Bottom