Recent content by Mtokambalisana

  1. M

    Kwa wanachama wa NSSF Hakiki michango yako kupitia namba hii

    ishu labda hawajaingiza ya karibuni Vp fao la kujitoa nssf procedure zikoje wajameni?
  2. M

    Kwa wanachama wa NSSF Hakiki michango yako kupitia namba hii

    Asante mkuu kwa info, walau nimejua fuba nililo nalo nssf. Lakinni michango 10 ya karbuni imeanzia mwezi was 9 2012 kurudi nyuma lkn Sio ishu ishu labda hawajaingiza ya karibuni
  3. M

    Huyu mke utamuweza kweli!!

    Hii ni ndoa ya kimila huko sauzi. Ilifanyika kuplease miungu tu. Hakutakua ma mahusiano yoyote ya kindoa baina Yao
  4. M

    Nauliza: FIRE TINGISHA TUNALIAPA MARA MBILI KWA MWAKA?

    Bongo tambarare, mi nimelipa juzi pale TRA Temeke, nikataka ufafanuzi, nikaishia kuzingushwa, hela imekwenda, mtungi hakuna, jibu katafute mwenyewe
  5. M

    TANZIA: Askofu Mstaafu Amedeus Msarikie afariki dunia leo alfajiri

    BWANA ametoa na BWANA ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe, Amina. Huyu Askofu alinipa Kipaimara Kanisa la RC Mashati Rombo
  6. M

    Samsung galaxy s2 inauzwa

    Vp laki nne unachukua?
  7. M

    WANYAMA WA kI TANZANIA WALIOIBIWA WAPO NCHINI BELGIUM PUNDAMILIA

    Kuna ushahidi wa kutosha ya kwamba hao wanatoka Tanzania? Pundamilia wanapatikana maeneo mengi ya kusini mwa Africa.
  8. M

    Natafuta mlinzi kutoka katika kampuni ya ulinzi, eneo Gongo la mboto

    Natafuta mlinzi ila kutoka kampuni ya ulinzi, eneo la Gongo la mboto. Tafadhali mwenye kujua kampuni yoyote nzuri ya ulinzi eneo hili au karibu na hili - mwisho eneo la TAZARA. Natanguliza shukrani
  9. M

    Brand new house for rent.

    No see aluminium windows, or the photos are for another house?
  10. M

    Gari ndogo ya kukodi

    If interested call 0787 996044
  11. M

    Gari ndogo ya kukodi

    Ninayo, Corolla limited, but 200,000 kwa wiki
  12. M

    Mrombo ni mtafiti mzuri

    Thanks mdau, ila hicho si kirombo nadhani kama sio kimarangu ni kimwika. Ila nice joke, long live chaggas! good fighters!
  13. M

    Safari ya Andrew Chenge kuwania Uspika wa JMT

    Maumivu ya kichwa huanza taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu.....
Back
Top Bottom