Recent content by Mtoboa siri

  1. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu wimbo hata mimi nautafuta sana.
  2. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania KERO Unakopa milion 10 unarudisha milion 40! NMB Mungu anawaona

    Milioni kumi unajenga nyumba au banda? Nadhani jina la mkopo lisiwe Mkopo wa nyumba labda waite mkopo wa kumalizia nyumba yako uliojenga maana kuna wale wanaojenga nyumba na kushindwa kuimaliza na mimi nikiwemo kwenye hilo kundi. Kwa mtazamo wangu, mkopo wa nyumba unaofaa kwa mkopaji ni ule...
  3. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Mimi nikikuta kwenye simu ya mke wangu ameweka Superstar wa kiume kwenye Wallpaper na mimi naweka picha ya Ryan Coner au Mia Khalifa. Akiuliza huyu ni nani namtajia jina lake halafu namuambia nenda kam-search kwenye Google.
  4. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Chukua nyimbo 10 za Diamond hazitoboi kwa kipande cha dakika 2 cha wimbo wa Juma dede (Times fm) kilichoombwa na Mzee Yusuph

    Hapana sio kweli, wimbo ule uliimbwa na Jahazi kuanzia waimbaji hadi wapiga vyombo. Verse ya kwanza aliimba Khadija Yusuph. Verse ya pili aliimba Fatma Ally. Verse ya tatu aliimba Mohamedi Ally 'Mtoto pori' Verse ya nne aliimba Prince Amigo. Na kile kibwagizo cha Juma Dede kiliimbwa na Mzee...
  5. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Chukua nyimbo 10 za Diamond hazitoboi kwa kipande cha dakika 2 cha wimbo wa Juma dede (Times fm) kilichoombwa na Mzee Yusuph

    Ulikuwa sio wimbo wa public au wimbo rasmi, ni wimbo wa tangazo la Radio times ndio maana hata kwenye album za Jahazi zote huo wimbo haupo. Ulikuwa haupigwi station yoyote ya radio zaidi ya Times FM ila kwa vile ulitokea kupendwa ndio watu wakawa wanao na pia ulikuwa unapigwa sana kwenye miziki...
  6. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Chukua nyimbo 10 za Diamond hazitoboi kwa kipande cha dakika 2 cha wimbo wa Juma dede (Times fm) kilichoombwa na Mzee Yusuph

    Anaitwa Prince Amigo, ukitaka kumsikiliza zaidi tafuta wimbo wa Jahazi unaitwa Domo kaya.
  7. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huo wimbo ninao ameimba Suelemani Mbwembwe, TX Moshi na Nico Zengekala wote ni marehemu kwa sasa. Ila sijauandika jina na nina nyimbo nyingi ngoja nitafute nikiupata nitauweka. Halafu unielekeze jinsi ya kum-tag mtu ili nikiupata kwenye gallery ya simu yangu niutume na niku-tag.
  8. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Kwanini Azam waliondoa youtube mechi yao ya shirikisho mwaka 2020 na Simba

    Acha ubishi matokeo ya mechi yalikuwa goli 2-0, sina kumbukumbu kama Simba alishawahi kumfunga Azam goli 4.
  9. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Kwanini Azam waliondoa youtube mechi yao ya shirikisho mwaka 2020 na Simba

    https://youtu.be/sotKsArTG9s?is=DrjcTmQDd6u9kqWr
  10. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Kwanini Azam waliondoa youtube mechi yao ya shirikisho mwaka 2020 na Simba

    Hiyo mechi ya Simba na Azam ya kombe la shirikisho mwaka 2020 Simba alishinda goli 2-0 na sio goli 4-0. Ngoja niitafute youtube nikiipata nitaweka hapa.
  11. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Vijana kufanya kazi ya saidia Fundi mwisho mwaka mmoja tu zaidi ya hapo unatakiwa uwe fundi au uachane nayo

    Kuna mafundi ujenzi wazuri nawafahamu hawajapitia VETA wala chuo chochote wamejifunzia mtaani kupitia hiyo kazi ya saidia fundi. Kikubwa ni uvumilivu na malengo uliojiwekea. Ukiona mtu zaidi ya miaka mitano yupo kwenye kazi ya saidia fundi basi huyo hana malengo ya kusonga mbele.
  12. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wajinga' wanatoboa kimaisha haraka kuliko sisi 'Great Thinkers’?

    Na pia tusisahu kuwa mfumo wetu wa elimu umeegemea sana kwa waliosoma kuajiriwa kuliko kujiajiri. Na kwa vile kwa sasa soko la ajira ni dogo sana hali inayosababisha wasomi wengi kuwa Jobless na matokeo yake wasiosoma au wenye elimu ndogo ambao mtoa mada amewaita wajinga lakini mimi nawaita Risk...
  13. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

    Nimewakumbuka Members hawa ambao kwa sasa hawapo JF. 1. Kongosho- huyu alikuwa maarufu sana kwenye jukwaa la Chitchat. 2.Mbuzi Mzee- Huyu alikuwa humkosi kwenye jukwaa la Jamii photos.
  14. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    Akikujibu ni-tag
  15. Mtoboa siri

    JamiiForums Tanzania Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    Yupo sahihi 100% alichokieleza ni ukweli mtupu.
Back
Top Bottom