Recent content by mtite

  1. M

    Brick Extruder for Sale

    Machine ya kuvyatua tofali za kuchoma inauzwa,Bei TZS 8000000 complete.Ina uwezo wa kuvyatua tofali 12,000 hadi 15,000 ndani ya masaa 8.Ipo Morogoro Mjini. Inavyofanya kazi check hapo :Tupigie +255738211205
  2. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante, nitacheki kisha nitatoa mrejesho. Nimefanikiwa kupata Kill All script, japo testing yake so far inaonyesha inafanya kazi lakini still haiclose orders.
  3. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante, natumia MT4 PC version, msaada wa jinsi ya kuifikia hiyo option. Kuhusu script ipo by default au inabid kuimport?
  4. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Naombeni msaada wandugu, nahitaji kufungua multiple entry orders mfano 10 orders of EUR/US ndani ya sekunde 15. Nifanyeje?
  5. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario-Keep it up brother and I understand you ll never give up. Please if there is any way I can help in this, count on me and am always here towards realization of a long waited dream for Tanzanian which was only revealed to Wahindi.
  6. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Doubt: The worst thing a trader can do is doubt him or herself. Doubt leads to a trader questioning other traders or even worse, throwing themselves headfirst into online forums and websites, seeking for answers that do not exist. Always remind yourself that your opinion is all that matters...
  7. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ni kweli kabisa, hii habari njema kutoka kwa Ontario siyo inawahusu watu wote. Mimi nimeona jinsi ambavyo wengi wameipokea lakin naamin only wale ambao wameitwa kutengeneza pesa kupitia forex ndio watakaobaki na kumbuka Ontario. Msisahau kuwa kwenye msafara wa mamba, kenge na mijusi pia wamo...
  8. M

    Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Konzogwe, tafadhali naomba nami uniunganishe na hawa jamaa, nimetafuta muda mrefu kupata contact kama hii.
  9. M

    UTEUZI WA MAGUFULI: Kikwete ameamua kugharamika mwenyewe?

    Wadau, tumjuavyo Magufuli si mtu wa sherehe na misiba! siku za hivi karibuni amekuwa akionekana sana akiwa na mwenyekiti wake kwenye shughuri za kijamii.Nionavyo mimi mh Magufuli yupo mafunzoni ambayo yataendelea hata baada ya kuchaguliwa kuwa rais na wamfunzao sasa.silioni jipya kutoka...
  10. M

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Nimemsikiliza polepoole, anahangaikia tuzo kama za viti maalumu hivyo Kazi aifanyayo anafanya kwa bidii ila jamii ya Tanzania sasa ni tofauti sana na ile ya miaka iliyopita hatima yake Aibu kubwa Kwa polepole
  11. M

    Wapenda mabadiliko tuwe makini na wachambuzi wanaoeneza propaganda

    Ni kweli kabisa, nionavyo Mimi wanaonufaika na mfumo kandamizi wanahofu, hivyo mwaka huu tutaona na kusikia mengi kwani wanufaika mfumo Kazi inaanza kuwa ngumu kwao.
Back
Top Bottom