Nina Soko la Nje la White Maize, SunFlower Oil and Sesame seeds for export

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,865
782
Wadau
Mimi nina soko la nje la white maize,sunflower oil,soy oil na sesame seeds kwa wingi .Kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya biashara namimi on commission basis tuwasiliane kwa pm........ Only serious suppliers with reasonable prices!!!!
 
Ok.sasa nifanyeje na unahitajika uwe na tan ngap ili upeleke soko la nje?
 
Wadau
Mimi nina soko la nje la white maize,sunflower oil na sesame seeds kwa wingi .Kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya biashara namimi on commission basis tuwasiliane kwa pm........ Only serious suppliers with reasonable prices!!!!
Choroko,mbaazi,dengu zipo pls call 0676019019
 
Back
Top Bottom