Recent content by mtitaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija

    kwakweli hiki kimeo tumepigwa, tumeuziwa sabuni badala ya kuuziwa simu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija

    kwakweli hiki kimeo tumepigwa, tumeuziwa sabuni badala ya kuuziwa simu. Safari tunayo ndefu sana kama taifa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umeme ni Tanzania nzima au Dodoma tu??!!

    wamerudishwa vinara wa kuingiza nchi gizani unategemea nini?, wanapenda kusikiliza ule wimbo wao pendwa kwamba "WANAUPIGA MWINGI". Wahuni tupu wamejaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Niger vs Taifa Stars | Tufanyeje kuweza kuwafunga Jumamosi?

    wanajadili, mama kuupiga mwingi, kamari kila radio na kila TV, kocha wa simba na wachezaji wa kimataifa, na mbape kuhama. Ndicho ninachokisikia aisee
  5. M

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi

    wale inawezekana hawaendi haja, haiwezekani kwa kufikiri na kuamua namna hiyo..alafu wanakuja jipigia makofi lundo. Uchafu ukikaa sana mwilini unaathiri ufanyaji kazi wa ubongo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yampa mkono wa kwaheri Saidi Ntibazonkiza

    yanga wakifanya vizuri kidogo tu, wanajistukia wanaamua kuharibu timu ili msimu ujao waendelee kufanya vibaya..maana hawajazoea kufanya vizuri kama msimu huu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tangu Dkt. Mwigulu aingie madarakani haya yametokea

    tangu lini "turubest" akawa mtetea wananchi?, yupo kundi moja la upigaji...busy kujipodoa tu ndani!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hati ya Mashtaka toka Branch Tanzania

    ulisaidiwa kipindi una shida, usifurahie kutowarudishia pesa yao. Kama una nafasi na uwezo warudishie pesa yao, unaweza pata shida wakati mwengine na wakakusaidia kwa kukukopesha tena. Lipa hata kama hawatakutishia kukukamata
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hatari: Mwalimu anayetuhumiwa kulawiti watoto 8 Kinondoni amepataje dhamana nje ya Mahakama?

    Mimi ningemmaliza kabisa wasimuone, yaani wanampeleka kituoni akiwa hai?? wana ujasiri sana. Mimi ningepata kesi pia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Malawi ataacha lini utoto?

    yuko very smart, ukiona wanahangaika kumnyamazisha asisikike kwa wananchi ujue huyo mtu ana akili kubwa sana hasa katika kukaa na wananchi wake. Hapo anacheza na saikolojia ya wabaya wake, ukianza kumjaji ujue umeshaingia kwenye kumi na nane zake hahaha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe aache ubaguzi: Wanachama wengi wa CHADEMA ni jobless, kwanini asiwatafutie ajira hao, anatafutia wenye kazi?

    Mbowe ni mnafki, huwezi kutamba kwamba ulimtafutia kazi ya malipo hayo na akagomea. Huo sio uanaume, huo ni uzwazwa. Chama kina wenyewe kile
  12. M

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

    CCM wanatakiwa wapimwe akili zao, inaonyesha wana akili za uzandiki sana. Kama nchi tujitafakari hawa watu watakuwa wanatuharibia nchi yetu. Kama kweli hilo ndilo punguzo basi watoke ofisini wajiudhuru kabla ya 2025
  13. M

    JamiiForums Tanzania TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

    huyo ni lucifar, sema wengi hawamuelewi tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Anajilinganisha yeye na marekani hatari?, ajue ni mbingu na ardhi hapo. Atoe makodi yake ili anusuru nchi huyu bibi
Back
Top Bottom