Umeme ni Tanzania nzima au Dodoma tu??!!

Umeme ni Tanzania nzima au Dodoma tu??!!

Halafu huu ni uzembe, kila mkoa ungekuwa na backup source yake.......... mfano kituo mama kikapigwa bomu iwe na uwezo wa kusaplai hata masaa matatu hadi nane kwa siku na hizi imejensi ndogondogo unakava - Self sufficiency

Hata hivyo nitoe pongezi, maana kama umekatika tumestuka ina maana sio kawaida ni habari. Hongera sana serikali kwa kutupatia umeme wa uhakika nchi nzima👊💪
Unavyotaka ww itapelekea baadhi ya maeneo umeme utakuwa mda wote timed out
 
Unavyotaka ww itapelekea baadhi ya maeneo umeme utakuwa mda wote timed out
Sijaelewa

Kwa lugha rahisi mi nilimaanisha tuwe na betri za kuhifadhi au vyanzo vidogovidogo vya umeme nchi nzima, sio kutegemea mtera na Ubungo......mfano kila kanda iwe na kituo cha kuzalisha, sio kusambaza tu

Wewe umemaanisha nn?
 
Iringa ulikata ukarudi,ukakatika ukarudi,ukakatika tena ila sasa umerudi umetulia sijui km utakata tena.
 
Huwa sielewi mantiki ya grid ya taifa. Mwenye uelewa anisaidie.
 
wamerudishwa vinara wa kuingiza nchi gizani unategemea nini?, wanapenda kusikiliza ule wimbo wao pendwa kwamba "WANAUPIGA MWINGI". Wahuni tupu wamejaa
 
Back
Top Bottom