Recent content by mtigalubawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Olympus mimi ninaona kuna kitu unakitafuta kwangu na mara nyingi huwa sipendi mtu flani apate umaarufu kupitia kwangu kamwe kana wewe baba kipande umejaaaliwa hivyo kuwa kipande. Pia huwezi niona hata siku eti nianzishe uzi mimi sianzishi uzi mimi naaanzisha kamba sawa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Daaaaaa Olympus mungu akujaalie wewe unae jitambua tena uwe na baraka tele kwa kujitambu akuongozeeee kwenye heri nyingi wewe unaejitambua ila mimi kama sijitambui najielewa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Mimi natafuta key pad ya Toshiba na cover la nje la acer mwenye nalo aniambie tafadhari
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shilole hajui Kiingereza hata kidogo

    Yello masai tunachozumza ni kuthamini lugha yako sio lazima ajuwe lugha ngeni kama hawezi aongeee hata kikwao wanaohitaji huduma yake watatumia njia mbadalla kupata huduma yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania Shilole hajui Kiingereza hata kidogo

    Kwanza ni bora hata aongee kiswahiri maana aonyeshe yeye ni mtanzania Halisi hayo mambo ya ulazima ujuwe kiingereza mi siafiki kabisaaaaaaaa mbona wachina wanaongea lugha yao na wapo vizuri kibiashara tuache utumwa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

    Malaika mkuuu huo ndiyo ukweli kwa wanawake wakorofi dawa ndiyo hiyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

    Babuuu kwani unakaa mkoa gani? Kama upo dar nanda nae sinza au ohio mida ya usiku aone utakavyogombewa mwenyewe atatia akili huyoooo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kamati ya Kudumu ya Kanuni za Bunge yaundwa

    Mkoroshokigoli unashangaaa nini kwa Adadi kuwa mbunge
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka niwashtaki Halotel

    Jamani Halotel wapi vizuri xana tu sitaki mtandao wowote ni hi tel
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Ninachojifunza hapa kuna watu wana chuki binafsi kwa mtu fulani. Maana inaonekana kila kitu Kinamuelemea yeye. Ila wanashindwa kuelewa kuwa bila ya yeye jpm asingeingia maaana alikuwa na ushawishi mkubwa wa kumchinja kikubwa tuache unafiki
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wenye elimu ya ‘’hapa na pale’’ wakubalika sana CHADEMA

    Yeye mwenyewe amesema elimu yake ni ya hapa na pale sijuwi hiyo shule ipo wapi?
Back
Top Bottom