Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa ujenzi wake lilijulikana kwa jina lake, lakini Wiki chache kabla ya uzinduzi wake Tumesikia halitajwi...
katika siku za karibuni tUmeona wanasiasa wenye UCHU wa mamlaka, CHAUMA kimekua kimbilio kwao, hii ni baada ya chama chao kutaka mabadiliko yakimfumo na kugomea kushiriki uchaguzi mkuu wa october 2025,Wengine wamejiengua mapema na kutimkia Chauma hasa kwa lengo la KUSAKA madaraka na kutimiza...
Katika kumbukizi ya Miaka minne ya kifo cha Magufuli yaliyoazimishwa Wilayani chato, Binti wa HAYATI Magufuli, Jesca alihutubia mamia ya wanacchi waliohudhuria katika Ibada hiyo. Moja ya sehemu ya hotuba yake nanukuu "katika safari yake ya uongozi ALIJIFUNZA toka kwa viongozi waliomtangulia...
Hakuna jambo linaondoa UTU WA MTU kama hichi kinachoitwa uchawa,Uchawa ndani yake umeficha maovu,umeficha ukweli,umeficha uzalendo na umeficha uMungu,kwa tafsiri ya chawa ni mtu aliyetayari kutokemea uovu au jambo lisiloenda sawa kwa sababu tu ananufaika.
Chawa akimganda mtu haijalishi...
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda na wewe, ioshe mioyo yetu, tuombe radhi kwa matusi na kejeli ulizowahi kushawishiwa na mtangulizi...
Hatuna shaka na uzalendo wa Lisu wala misimamo yake katika kukataa Rushwa, chama kikiwa mikononi mwake ukombozi wa kweli wa Taifa utapatikana.
Magufuli alitenda Mengi Mazuri lakini kama ilivyokawaida ya binadamu hakuna aliyekamilika mazui yalikuwa mengi kuliko Madhaifu, Lissu mara baada ya...
Leo Katika pita pita mtandaoni Nimekutana na Video ya kijana Akikemea wadudu, Binafsi namuunga mkono, Wadudu Wanaidumaza Arusha na kuidhalilisha, chukua muda wako kusikiliza na toa maoni yako pia.
https://vm.tiktok.com/ZMMtacGnQ/.
Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
Nawasalimu Kwa Jina Mungu,Muumba wa Mbingu na NNCHI,Tunaweza kuitikia Kwa kusema ''Uzalendo Uendelee''
Karibu unabii unatimia Kama alivyosema Tutamkumbuka. Maadui zake wamekuwa wa kwanza kumkumbuka Tena kwa Mazuri Sio Mabaya,ukuu wa MUNGU ulionekana Baada kusikiia kauli ya utetezi kwa Magufuli...
Katika kuadhimisha miaka miwili ya kifo chake vijana wapo wanaokumbuka mazuri yake lakini pia wapo wanaokumbuka mabaya yake, nyimbo hii ni moja ya nyimbo inayokumbusha mmoja wa upande wake.Chukua mda wako kutazama.
Kwa nyakati tofauti Kiongozi wa Upinzani Tanzania alikuwa akiongoza mapambano yakimkakati katika kulikomboa Taifa, kiongozi alionesha nia ya dhati kupiga vita Ufisadi, Matumizi Mabaya ya Serikali, Uwajibikaji maofisini na mengine mengi.
Baada ya tuhuma za Ugaidi sio kwakushinda kesi bali kwa...
Viongozi waliokuwa wanaaminika, wazalendo na watetezi wa Watanzania sasa wamegeuka. Agenda kubwa si matatizo na changamoto zinazowakumba Watanzania, bali wanashindana kuonesha mabaya waliyotendewa na aliyetangulia.
Viongozi wa upinzani kila mmoja anazungumza kwa kutaka sifa au kuonewa huruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.