Maeneo ninayohitaji ni kimara, Riverside, Mabibo mwisho na Magomeni, isiwe mbali na barabara, iwe ndani ya fence, wapangaji wasiwe wengi, maji umeme viwepo, mwenye nyumba asiwepo hapo.
Budget iliyopo ni laki mpaka laki na ishirini.
Kama wewe ni mwenye nyumba ni pm