Msaada! Uhamisho kutoka Halmashauri (W) kwenda Wizara ya afya.

Mteremko

Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
35
Reaction score
14
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa ikiwa mtumishi aliye chini ya Halmashauri (W) Idara ya Afya amepata nafasi ya kuhamia moja ya taasisi za Wizara ya Afya.

Je, afanye taratibu zipi mtumishi huyu ili aweze kuhama kutoka tamisemi kwenda Wizara ya Afya?

N.B
Nimeombwa ushauri nikaleta hapa nipate mawazo.
 
Mkuuu kwani hao walio halmashauri idara ya afya so waalipelekwa uko na wizara ya afya au hujui hilo?
Yaani ajira zinatangazwa na wizara ya afya wakipangwa then wanapelekwa kwenye halmashauri mbalimbali ambano ndo Kuna zahanati,hospitali,vituo vya afya n.k

Kwa mfano ulitaka kuhamia wapi au huyo unayemuulizia?

Hapana Hawa walipangwa na Tamisemi kwa hiyo wapo chini ya Tamisemi sio Wizara ya Afya.

Yeye anataka kuhamia Taasisi moja wapo iliyo chini ya Wizara ya Afya.
 
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa ikiwa mtumishi aliye chini ya Halmashauri (W) Idara ya Afya amepata nafasi ya kuhamia moja ya taasisi za Wizara ya Afya.

Je, afanye taratibu zipi mtumishi huyu ili aweze kuhama kutoka tamisemi kwenda Wizara ya Afya?

N.B
Nimeombwa ushauri nikaleta hapa nipate mawazo.
Waambie hiyo taasisi wakupe barua ya kuthibitisha kwamba Kuna nafasi wazi, then andika barua yako ya kuhama ipitishe kwa mwajiri wako, akishapitisha Kuna mawili..Kama huko uliko pata nafasi Wana uhitaji wa haraka wapelekee waitume utumishi wao, hii ndio njia rahisi maana kila taasisi hasa hawa waajiri huwa wana watu wao pale utumishi wa kuwasukumia mambo yaende haraka au

Ukishapitishiwa ambatabisha na barua ya kuonesha Kuna nafasi wazi umepata then unapeleka utumishi, halafu unasubiri majibu ( hapa ndio huwa shida maana wale jamaa wa utumishi wana ukiritimba Sana wa kujuana, barua zinaweza kuozea pale Kama hawakufahamu)
 
Asante kwa maelezo mazuri, je akishapata hiyo barua ya kuhakikishiwa kuwa Kuna nafasi wazi , anatakiwa afuate utaratibu ule wa kawaida wa uhamisho ( Kupitisha barua kwa wakuu wake wa kazi was Halmashauri na Mkoni wenyewe ndio was itume Utumishi ) au Kuna utaratibu upi?
Na je, Barua ya kudhibitishwa kazini itahitajika katika mchakato huo au ataenda kupata barua ya kudhibitishwa huko atakapo kwenda?

N.B
Anamwaka mmoja kazini bado hajadhibitishwa kazini.
 
Kama amepata nafasi kweny Taasisi (mfano Benjamini Mkapa Hosp).

Cha Kwanza;
Aandike Barua kumuAddress ""Katibu mkuu Wizara ya Afya) hiyo Barua ipitie Taasisi husika...tena ipitie Mwajiri wake (Mkurugenzi...Mganga mkuu) hii Barua ilenge kuomba nafasi ya kuhamia.

Ikisainiwa pote, Atapokea Barua kutoka Wizarani Afya...ikimwambia ""kuna nafasi"" na afanye moja mbili tatu.

HIYO BARUA YA MAJIBU kutoka Wizara afya...ITAKUAMBIA UANDIKE BARUA KWENDA KWA KATIBU MKUU UTUMISHI (na hiyo barua ya kwenda kwa Katibu mkuu Utumishi, utaipitishia pia kwa Waajiri wako).

Baada ya hapo, utasubiri majibu ya UTUMISHI.

Soma kwa taratibu utaelewa (Nilivyoandika, uzingatie taratibu za kuandika Barua ya kiofisi).

NB; Barua utakayoipokea kutoka Wizara Afya, utaiambatanisha nakala yake na Barua utakayoiandika kwenda UTUMISHI.
 
Kam hajapata barua ya kuthibitishwa haruhusiwi kuhama mkuu,
 
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa ikiwa mtumishi aliye chini ya Halmashauri (W) Idara ya Afya amepata nafasi ya kuhamia moja ya taasisi za Wizara ya Afya.

Je, afanye taratibu zipi mtumishi huyu ili aweze kuhama kutoka tamisemi kwenda Wizara ya Afya?

N.B
Nimeombwa ushauri nikaleta hapa nipate mawazo.
Kingine naomba kukuuliza; "Amepata nafasi kwa Maneno au kwa Barua"""????
 
Kama amepata nafasi kweny Taasisi (mfano Benjamini Mkapa Hosp).

Cha Kwanza;
Aandike Barua kumuAddress ""Katibu mkuu Wizara ya Afya) hiyo Barua ipitie Taasisi husika...tena ipitie Mwajiri wake (Mkurugenzi...Mganga mkuu) hii Barua ilenge kuomba nafasi ya kuhamia.

Ikisainiwa pote, Atapokea Barua kutoka Wizarani Afya...ikimwambia ""kuna nafasi"" na afanye moja mbili tatu.

HIYO BARUA YA MAJIBU kutoka Wizara afya...ITAKUAMBIA UANDIKE BARUA KWENDA KWA KATIBU MKUU UTUMISHI (na hiyo barua ya kwenda kwa Katibu mkuu Utumishi, utaipitishia pia kwa Waajiri wako).

Baada ya hapo, utasubiri majibu ya UTUMISHI.

Soma kwa taratibu utaelewa (Nilivyoandika, uzingatie taratibu za kuandika Barua ya kiofisi).

NB; Barua utakayoipokea kutoka Wizara Afya, utaiambatanisha nakala yake na Barua utakayoiandika kwenda UTUMISHI.
Soma hapa sasa.
Na wakati unawaandikia Wizara Afya, Ambatanisha na vyeti vyote na Documents zako mfano Nakala ya Barua ya kuthibitishwa, Barua ya Ajira, Kopi ya Kitambulisho cha Kazi.
 
Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa ikiwa mtumishi aliye chini ya Halmashauri (W) Idara ya Afya amepata nafasi ya kuhamia moja ya taasisi za Wizara ya Afya.

Je, afanye taratibu zipi mtumishi huyu ili aweze kuhama kutoka tamisemi kwenda Wizara ya Afya?

N.B
Nimeombwa ushauri nikaleta hapa nipate mawazo.

Yupo position gani?
 
Waambie hiyo taasisi wakupe barua ya kuthibitisha kwamba Kuna nafasi wazi, then andika barua yako ya kuhama ipitishe kwa mwajiri wako, akishapitisha Kuna mawili..Kama huko uliko pata nafasi Wana uhitaji wa haraka wapelekee waitume utumishi wao, hii ndio njia rahisi maana kila taasisi hasa hawa waajiri huwa wana watu wao pale utumishi wa kuwasukumia mambo yaende haraka au

Ukishapitishiwa ambatabisha na barua ya kuonesha Kuna nafasi wazi umepata then unapeleka utumishi, halafu unasubiri majibu ( hapa ndio huwa shida maana wale jamaa wa utumishi wana ukiritimba Sana wa kujuana, barua zinaweza kuozea pale Kama hawakufahamu)
Ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom