Mheshimiwa anaondoka ameiacha nchi sehemu mbaya Sana na bado kuna wapuuzi wachache wanampongeza kwamba kafanya makubwa ni ulimbukeni na uvivu wa kufikiri
Aliyesema serikali aihusiki katika usafirishaji amekosea Sana kwani kuna kitu kinaitwa puplic private partnership ni mkataba wa kiutendaji ambapo taasisi binafsi zitafanya kazi kwa ushirikiano na serikali vyombo vya usafiri vinafanya kazi kwa mujibu wa sheria hivyo kutokufanya kazi lazima...
Hali ya uchumi wa nchi ni mbaya Sana katika kipindi hichi kuliko hata kipindi cha miongo miwili iliyopita. Uchumi wa nchi unaonekana unakua kwa 7%toka mwaka 2000 mpaka na leo na per capita income imeongezeka kwa 50%, lakini takwimu hizi zime neglect ongezeko la watu (population growth) kwan kuna...
huwezi kutoa fact za kuanguka CHADEMA bila kufanya. projection ya maeneo wanayopoteza CCM kila uchaguzi huo ni uwendawazimu kuujua ukweli na bado kuupotosha
Wahenga walisema ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni.Siasa za Tanzania zimeendelea kukua kadri muda unavyozidi kwenda tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi.
Kumetokea vyama vya upinzan vyenye nguvu katika siasa za Tanzania katika vipindi tofauti tofauti, tangu TLP, CUF na CHADEMA...
Ukiingia katika siasa kuna matatizo na changamoto ambazo huna budi kukabiliana nazo kupanda na kustawi kwa Zitto Kabwe pamoja na juhudi binafsi lakini chama chake kimekuwa na msingi Mkubwa katika hilo hata yeye anakubaliana nalo.
Tatizo ni kwamba siasa za Tanzania zilitengenezwa kuaminishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.