Siasa za Tanzania na mfumo wa Divide and Rule

Siasa za Tanzania na mfumo wa Divide and Rule

MTENSA

Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
9
Reaction score
1
Ukiingia katika siasa kuna matatizo na changamoto ambazo huna budi kukabiliana nazo kupanda na kustawi kwa Zitto Kabwe pamoja na juhudi binafsi lakini chama chake kimekuwa na msingi Mkubwa katika hilo hata yeye anakubaliana nalo.

Tatizo ni kwamba siasa za Tanzania zilitengenezwa kuaminishwa chama kimoja ndio tawala ya watanzania. Vyama vingi vya upinzani vilivyojitokeza tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe 1990's vimekuwa vikikabiliwa na changamoto nyingi kama vile ukata, usaliti, tamaa, n.k.

Hizi ni mbinu ambazo hupandikizwa na viongozi wabovu wachache wanaogopa mapinduzi ya demokrasia hivyo kutumia mfumo wa DIVIDE AND RULE SYSTEM ambayo kwa kuhofia ustawi wa vyama pinzan wachache kwenye maslahi binafsi hutafuta sababu ama za kuwaharibu viongozi wachache kwenye mvuto kisiasa ama kufarakanisha viongozi waliopo katika vyama kwani ilianza na TLP miaka ya 1995, ikaja CUF 2005 na sasa CHADEMA.

Swali la kujiuliza, ni kwanini historia ya mifarakano hii hutokea pale tunapoelekea kwenye chaguzi kubwa na zenye tija kwa taifa? Jibu ni rahisi kujaribu ku-stabilize nguvu ya vyama vingi kwa kuogopa mabadiliko.

Kimsingi namshukuru Zitto kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa taifa pamoja na madhaifu mengine yaliyojitokeza katika kipindi chake cha utumishi pamoja kukubaliana kidemokrasia kuvuliwa uanachama wake kwa kukataa kurudi mahakamani kupinga hukumu ya shauri lake alilofungua mahakamani.

Ni muda wa ndugu Zitto Kabwe kupumzika kisiasa na kuwaacha wengine waendelee kupambana na udhalimu unaoendelea.

ALUTA CONTINUA
 
MIAKA 50s ya uhuru!!! bado ni shida TZ..makoloni meusi!! wenzetu hawa wanatuumiza!!! mashamba yetu wananyang'anya, migodi, wanyama wetu wanasafirishwa nje laivu!!!
aaah!! aaah!! wanaotuibia na kututesa ni hawa hawa ndugu zetu!!!
WASALITI TUWATUPE!! makengeza hayaitajiki kabisa!

misingi ya nchi imebomoka!!!
 
[Nilidhan una hoja ya maana kumbe ni ujinga tu.....apumzike ili iweje pumzika wewe.....na kwa taarifa yako hapumziki mtu mtasubiri sana na tutapambana mpaka kieleweke.
 
Zitto anae ACT Hudhihirishia umma wa watazania, kuwa anaenda kupunguza nguvu ya Chadema kwa maslai ya Chama tawala.

Zitto kama muasisi wa ACT, tumeona Chama Chake kipo kwa maudhui ya Kupambana na Chadema.
 
Kama Mbowe form 6 div 0 ndo kiongozi wa upinzani nchini,kuna upinzani kweli hapo?
 
Kama Mbowe form 6 div 0 na dr slaa padri ndo viongozi wa upinzani nchini,kuna upinzani kweli hapo?
 
CCM itatawala milele.wembe ni ule ule ushindi.
 
[Nilidhan una hoja ya maana kumbe ni ujinga tu.....apumzike ili iweje pumzika wewe.....na kwa taarifa yako hapumziki mtu mtasubiri sana na tutapambana mpaka kieleweke.

Wewe ni zito? Au msemaji wake, utajikwaa bure kurupukurpu za nini?
 
Back
Top Bottom