Recent content by mtendwa

  1. mtendwa

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    mh nape usife moyo hayo ni madaraka tu umeonyesha msimamo wako katika kutenda haki mwenyezi mungu yuko pamoja nawe.
  2. mtendwa

    Ipo siku Slaa atasema nani alimtuma kuchafua hali ya hewa

    Soma vizuri wewe acha ushoga unawashwa.
  3. mtendwa

    UKAWA tulieni, mbinu watumiazo CCM hizi hapa

    Hata wafanyeje mwisho wa kushika nchi hii mafisadi umefika hata mwenyezi mungu anaona tunavyopambana na mafisadi anatupa sapoti mwisho wa siku tutashinda nguvu za mafisadi ambayo wanatumia pesa walizokuwa wakiiba serikarini kutaka madaraka watashindwa vibaya.
  4. mtendwa

    Ipo siku Slaa atasema nani alimtuma kuchafua hali ya hewa

    Slaa usikate tamaa baba ulichokisema ni kweli na watanzania tumekuelewa wachache waliolishwa dawa El ndo wako gizani.
  5. mtendwa

    Ipo siku Slaa atasema nani alimtuma kuchafua hali ya hewa

    Lowasa ana nafasi ya kuchukua nchii hii hilo hasau hatuwezi kuwapa nchi mafisadi na matajiri wachache waendelee kunyonya nchii hii sisi tukiwepo kamwe abadani na magufuri akiingia watapanda mahakamani sana tu.
  6. mtendwa

    FULL TEXT: Hotuba ya Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Agosti 29, 2015

    Hatuwezi kupeleka mroho wa madaraka ikulu na mgonjwa wa kiharusi ambae hata kutembea ni shida na fisadi aliekubuhu ikulu sio ya wezi na mafisadi kama ng;ombe zake achungie monduli na sio ikulu yeye ni muhuni kama wahuni wengine.
  7. mtendwa

    Kwanini mabasi ya kampuni ya New Force yamefungwa vitambaa vyekundu kwa nyuma?

    Hao matajiri wa mabasi wanapokezana kafara leo new force,kesho saibaba, kesho kutwa Dar express.
  8. mtendwa

    Shekhe Ponda aachiwa huru

    Kwanini wamemuachia huyo gaidi.
  9. mtendwa

    Bunge usiku huu limesema kesho mjadala kuhusu escrow upo pale pale

    Kwanza kesho kuna hatari kama sio umeme kutokuwepo nchi nzima basi mawasiliano yatakatwa ili wananchi wasijue mjadala Escow utakuwaje.
  10. mtendwa

    Morogoro: Watu 7 wakamatwa wakiwa na meno ya tembo

    Wacha watu wajipigie tembo wao nchi imeuzwa hii.
  11. mtendwa

    Safari moja, mabasi matatu!

    yaani hayo mabasi hayafai kwanza ni chinja chinja hasa mwisho wa mwaka watu wawe makini kuanzia mwezi wa kumi na moja mwishoni ndo mda wa kafara.
  12. mtendwa

    Asilimia kubwa ya wana-CCM ni wasakatonge tu

    Hao ni mafisadi tu.
Back
Top Bottom