Recent content by MTENDAHAKI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan: Kwako huu ujumbe ninakusihi

    Niliwahi kukuandikia Mh. RAIS Samia Suluhu, kwa sasa nakuombea tu Mungu akuongoze
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama wanadai kuwa Corona ipo na ni hatari, kwanini sasa wanaendelea kufanya?

    Sifa kubwa ya kuwa "kamanda" ni kuwa na uwezo wq kusemw uongo hadharani mchana kweupe bila woga
  3. M

    JamiiForums Tanzania CORONA isiwe mtaji wa kisiasa, hawakujali hata kama tungeisha wote

    Kila mtu anayo haki ya kufa au kuishi! Kufungia watu kwa kisingizio cha Corona kama mataifa mengi yanavyofanya kwa kutumia mabavu ndio jambo baya zaidi! Tuliongozwa vyema sana na JPM vita ya Corona
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliyoyasikia kwa dada huyu, nimeamini vibamia wapo na wanadharauliwa sana

    Na mtaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hakuna pingamizi atawekewa mgombea wa CHADEMA

    Nasubiri kuona namna Lisu atakavyoweza kupata asilimia 7,ya kura! Asilimia saba
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA itashinda Chato na Majimbo yote ya Geita

    Hii inaitwa "kujitekenya mwenyewe na kucheka" 😀 😀! Geita yote ya kijani, chadema watakosa hata diwani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna binadamu yupo hivi!!? Ama kuna nguvu mbadala wanatumia!!?

    Sifa hizo zote, si awe rais wa dunia tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa kabisa 2020 CCM ikaangukia pua tukawa Utawala mwingine kabisa

    CCM inahitaji tathmini kubwa, hasa ni namna gani polisi wanashughulika na watu, TRA na wafanyabiashara, serikali na sera za kodi, watumishi wa umma wamekaa kimya lakini wana hasira sana sijui serikali itaiondoaje (mishahara duni, bodi ya mikopo, utumishi na vyeo), wakulima ndio hao wanatiwa...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jua tofauti za maumbile kwa wanaume

    Urefu na ufupi wa mwanaume unapimwaje?warefu sana ndio wapi hao?The analysis is vegue, lacking and unrealistic
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Sen Bob Menendez amtaka Rais Trump kusaidia kuiokoa Tanzania kutokana na wimbi la kurudi nyuma kwa Demokrasia

    Trump wa Marekani?Yeye mwenyewe anatamani awe na sheria kama ya Tanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa haya, Natangaza rasmi kuukubali utawala wa Rais Magufuli

    Ungeandika kiswahili , maana hii lugha hujafuzu hata kwenye matumizi ya "Tenses" tu
  12. M

    JamiiForums Tanzania TBC 1 kwenye matukio ya LIVE mjirekebishe

    Namuonea huruma lakini nadhani ni bora akarudi chuoni kufundisha tu!Unazidiwa vipi na Ayo tv, global tv etc kwenye kurusha live broadcast?Wametumia kiasi gani kuboresha matangazo yao hao wengine ambacho TBC hawana!Sijui ana lugha gani ya kuwaeleza watz. Kama vifaa vipo na tatizo ni warushaji wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TBC 1 kwenye matukio ya LIVE mjirekebishe

    Wanazidiwa na online tv za vijana wenye mitaji ya kuungaunga?Shame
  14. M

    JamiiForums Tanzania Polisi, yanayoendelea barabarani na madhara yake kiuchumi

    Exactly mkuu
Back
Top Bottom