Recent content by Mtemi01

  1. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa kulinda hadhi na heshima kwa Walimu wote Tanzania

    Walimu hawawezi kutekeleza ulichoshauri
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

    Awali nilitaka kuuliza unajishughulisha na nini hadi utafute huduma katika Idara zote 19 - 20 za Halmashauri. Lakini pia Halmashauri zote zina huduma ya internet ya bure inayoratibiwa na IT. Uliuliza hilo bando anataka aweke wapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Msajili wa Vyama, hana mamlaka kufungia/kufuta vyama chini ya muda wa miezi 12 kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Mkuu baki kwenye hoja, umeambiwa chama kuzuiwa kufanya shughuli. Hujaambiwa mwanachama. Yani CHAMA vs MWANACHAMA
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii Vita Iran ndo ameshinda Israel wanatishia kumuua Trump!!

    Malengo ya Israel yalikuwa ni yepi? Mfano kumuua yule babu Ayatola na kubadili kabisa uongozi imefanikiwa? Kiufupi Israel malengo yake hayajafanikiwa. Kalipua baadhi ya maeneo ila kwenye nyuklia hajagusa. Na unadhani kwa nini amesitisha vita? Sababu amebaini kitu tofauti na matarajio
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bongo Fleva ya miaka ya 2000 mpaka 2009 hatuna deni nayo maana si kwa Wasanii hawa

    Wakati huo hata mziki wa dansi ulikuwa na nguli kibao kina Ali Choki Banza Stone Waziri Sonyo Badi Bakule
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA jitengeni maneno ya udini kwa baadhi ya wanachama wenu

    Kwa miaka kadhaa CHADEMA ilikuwa ikipakaziwa tuhuma hasi za Udini, Ukanda na Ukabila. Uchaguzi wa chama mwaka huu angalau ukafuta hoja hizo baada ya kina Lisu na Henche kushika nafasi. Hii tabia walioanzisha kina Hilda viongozi wanatakiwa kukemea na kujitenga nayo. Watu smart wanajenga hoja na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania YANGA NAO WATATENGENEZA KITU CHA KUAHIRISHA MECHI

    Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda. Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya game wao wanaweza kwenda mazoezini na coaster moja movu wakalitupa mtaroni siku moja kabla ya mechi na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mechi ya Tabora na Yanga kukaribia TFF waufungia Uwanja waAlly Hasani Mwinyi uliokua unatumiwa na Tabora United

    Coastal Union imedhaminiwa na GSM, juzi wameomba mechi yao na Simba ipelekwe Mkwakwani Tanga. TFF wamewakatalia na kuwaambia mechi itachezwa Arusha, hamkusema TFF imehongwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Makonda na Gambo ni matokeo ya kukosa viongozi wanaochukua hatua

    Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha, lakini kwa hatua iliyofikia ilitakiwa hatua zichukuliwe ili huu ugonjwa tusiendelee kusambaa. Wapo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kulipia bidhaa nje ya nchi na maana ya ZIP code

    Asante boss kama ni post code naijua. Kuhusu hizo namba cvv ni zipo hapa kwenye kadi yangu?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kulipia bidhaa nje ya nchi na maana ya ZIP code

    Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress. Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Hakukuwa na haja ya kusema "..Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan"
Back
Top Bottom