nadhani hilo swali ulitakiwa kumuliza baba na babu yako ,hawakuweka juudi katika kuwekeza ili ww uje uendereza mali walizo tafuta wazazi wako na hilo swali iko siku mwanao atakuja uliza tena kama usipo jishughulisha kwa bidii zaidi
Hakika nakubaliana na Naomi yako Kwa asilimali zote kweli umelimika zaidi mh. Karib sana natumaini kukuona tena home karib sana muda ulio kaa huko umejenga ufahamu wako zaidi hongera Kwa hilo mh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.