Kuna mtu alikuuliza huko juu. Hiyo idadi ya mabasi 500 yanayosafiri, umepataje idadi ya abiria 300,000?
Idadi ya mabasi 500×abiria 65 = 32,500.
Zidisha hao abiria kwa buku unayosuggest
32,500×1,000=32,500,000.
Haya hiyo milioni kumi ya kumlipa aliyepata ajali inatoka wapi?
Otherwise useme...
Kweli JF ni darasa. Naomba pia kusaidiwa. Nina kamtaji ka kama mil. 10, natamani kuanzisha biashara ya mabegi hasa backpacks na ya mkononi (ya kiume) pamoja na viatu vya kiume.
Naogopa kuagiza (hofu ya kutapeliwa), kwa mwenye uzoefu ili hiyo pesa itoshe nauli, malazi, usafiri, na kodi, natakiwa...
Sure. Katiba inasaidia. Ila haiondoi maovu ya wanadam. Slobodan Milosevic, Hitler, nk, wote walichaguliwa mi Katiba. Clinton aliongoza marekani yenye Katiba "nzuri" lakini akala demu ofisini.
Uzuri wa JF, tunapata fursa ya kuandika unavyojiskia. Wapo waandishi wazuri kama akina Mayalla, na tupo the majority other. Ila wote tupo huru kupost.
Hii kitu "uhuru" umesemwa sana kuwa ni moja ya mambo yanayokosekana ktk utawala wa JPM. Jambo hili na mengine kadhaa limefanya nifikirie kwa...
So Hon. Lissu implies that Tanzania should not allow her relationship with the EU deteriorate. This is in my opinion is going against the ideas of sovereignty and independence.
Just because they "help" a lot, doesn't mean we should agree and support everything they want from us. Otherwise we...
Kwa hali ilivyo sasa, mtu yeyote mkosoaji wa serikali akivunja sheria yeyote akakamatwa, utasikia people wanasema ni mbinu ya serikali kumtuliza.
Objective thinking yetu tushaitupia dirishani.
Nikiwa nyumbani weekend nacheza na wanangu, mawazo juu ya mustakabali wao na nchi yao yakawa yananiijia. Ni wazi Taifa letu bado liko nyuma kimaendeleo lakini cha muhimu ni kuwa bado lipo.
Ninacho jiuliza ni je? Taifa lao Hawa watoto wetu litakuaje, na cha msingi kabisa Litakuwepo?
Naomba...
Ni shutuma nzito. Yani zinatosha kumfungulia mtu mashtaka ya kupotosha na uchochezi.
Serikali isipomshtaki kwah hili basi tutaamini maneno anayoyasema.
By Mnyantuzu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.