Kama mbowe alichukuwa hizo pesa na yeye dhambi ya ufisadi itamtafuna kama ni kweli. Mimi na shanga watazania janga kama hili mnafanya mchezo nalo linaweza kuleta madhara siku za usoni kwa aidha watu kuendele kufanya hivyo kwakua imekuwa ni mazoea mwanzo ilikuwa epa mambo yamefinyangwa finyangwa...
Kwani kitira amekosea ni vijana angalieni taifa kwanza vyama badae kuchambua wagombea sijambo baya na anatakiwa achambuwe wa ccm na waupinzani bira kumuonea haya mtu yoyote ambae badae atapeperusha bendera ya taifa huko nyuma kwa kweli tumekuwa na marais ambao hatuwajuwi nchi yetu kila mtu...
Sasa kama amekwisha mnamjadili wa nini simumuacha nyinyi kwenye taifa hili mmefanya nini? Hata sisi tuwakumbuke? Siafadhari na huyo zito. yako mambo ameyafanya mtumie akili kila mnapo jadili mambo kazi kuwalaumu wenzenu yakwenu mnayacha
Naomba msinijadili bado nipo hai nyinyi vijana ambao mnakimbilia siasa kama ajila mue na nidhamu kumbukeni visima hivi vilichimbwa na watu nyinyi maji mme yakuta muwaheshimu walio chimba visima mmekuwa mkinisema sana kwenye mitandao kwa maneno ya uongo ambayo nyinyi hamyajuwi ulizeni muambiwe...
Kuwalawiti ni kosa la jinai hata angekuwa huyo polisi ana cheo gani lazima achukuliwe hatuwa hatuwezi kuendesha nch kihuni lazima jeshi la polisi libadilike katika uchuguzi sio kutumia aina hi
Yo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.