Recent content by Mteleve

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamume

    Simu n.k.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamume

    Weka mawasiliano ili iwe rahisi
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Unaposema wanaume hamridhiki... nini hasa? Maana kama ni michepuko siku hizi akina mama wapo mstari wa mbele
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie formula/njia gani kupata mtoto wa kiume?

    Ndiyo, ni mke wangu. Nashukuru kwa msaada wako, nitafanyia kazi. Mungu akubariki.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie formula/njia gani kupata mtoto wa kiume?

    Nina wakike watatu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie formula/njia gani kupata mtoto wa kiume?

    Naomba msaada wa kitaalamu, Ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k. Naomba msaada
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie formula/njia gani kupata mtoto wa kiume?

    Naomba msaada wa kitaalamu, ikiwa yupo anayefahamu njia ya kuchagua mtoto ili nichague mtoto wa kiume. Nilale na mwanamke wakati gani? Siku gani? Au nile chakula gani? n.k. Naomba msaada.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Ningependa kujua hilo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    Wewe una miaka mingapi? Umewahi kuzaa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania rais Kikwete amewahi kusikiliza hotuba za BABA WA TAIFA?

    Rais aweje kuhusiana na dini, kwamba aende ikulu kutangaza dini yake? Au kuimarisha misingi ya umoja wa nchi na amani kwa nchi yote? Kumbukeni watanzania marehemu baba wa taifa alisema "huyu ni mtoto...", mara tu baada ya kufa baba yetu ccm ilisahau WOSIA WA BABA. Hii ni laana. Tumuombe Mungu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Basi la FM Safari limegongana na Lori maeneo ya Mikumi

    Ni tabia isiyo nzuri, pia inakuwa inaashiria hali ya kukosa maadili kutoa taarifa za uongo kwa wenzako. Ajali si habari za joking. Mtoa habari JIHOJI. Kama kweli imetokea Mungu awalinde waathirika wa ajali.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Dar apiga marufuku waumini kuingia kanisani bila sadaka

    Muhimu, lifundishwe vizuri na kwa usahihi somo la uwakilii ili mkristo ajue namna ya kutoa. Sadaka siyo deni, mkristo asidaiwe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Dar ajifungua laptop

    Leta hiyo picha ya anavyojifungua LAPTOP, to make ME believe.
  14. M

Back
Top Bottom