Recent content by Mtela Mwampamba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa huru la wazalendo latoa neno kuhusu teuzi za Wakuu wa Wilaya wapya

    JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI VIONGOZI WATEULE TUKACHAPE KAZI KWELI KWELI Ndugu waandishi wa habari salaam! Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa Taifa. Leo Jukwaa Huru La Wazalendo Tanzania, tumewaiteni hapa kueleza na kupongeza jitihada za mh John...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa huru la wazalendo lawaangukia Wabunge na Jeshi la Polisi

    Jukwaa huru Ni la wote karibu tujenge nchi pamoja, weka namba ya simu na mkoa uliopo .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa huru la wazalendo lawaangukia Wabunge na Jeshi la Polisi

    Tutafika Tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa huru la wazalendo lawaangukia Wabunge na Jeshi la Polisi

    JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WABUNGE WAONESHE UZALENDO KWA KUCHANGIA UNUNUZI WA MADAWATI, KULAANI JESHI LA POLISI DODOMA Ndugu wanahabari; Tumewaita hapa kwa nia ya kuwaomba mtufikishie hoja zetu mbili juu ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa huru la wazalendo lawaasa wanasiasa kuacha siasa za maigizo

    JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI VIONGOZI WAACHE SIASA, WANANCHI WANATAKA MAENDELEO Ndugu Waandishi wa habari salaam! Poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa Taifa. Leo Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania, tumewaiteni hapa kutoa dukuduku zetu kwa mara...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba: Biashara na uongozi wa umma - Azam Two

    Ndugu Wazalendo, Salaam!! Kesho 16/05/2016 saa 1:30 asubuhi ndugu MTELA MWAMPAMBA katibu wa Jukwaa Huru la Wazalendo atakuwa live ( Moja kwa moja) kupitia kipindi cha Morning Trumpet ndani ya Azam Two, Kujadili Muswada Wa Sheria Ya Kutenganisha Biashara na Uongozi Wa Umma. Karibuni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Watumiaji wangekuwa na moyo wa dhati kama mkusanyaji Kitilya, tungepiga hatua kubwa sana

    Katika mwanzo wa mwaka 2013 niliandika makala maarufu yenye kichwa cha habari "Ninavyomfahamu Zitto Zubeir Kabwe - Kilio cha Usaliti (sehemu ya tatu) https://groups.google.com/forum/#!msg/mabadilikotanzania/mfpXgJn6b3o/XvYn83FRLe4J, thread hii labda imeingia katika rekodi ya thread zilizokaa kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wafanya party ya kujifuta machozi, Tundu Lissu ahudhuria

    Chief nina video pia, sijui na hiyo mtaikataa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wafanya party ya kujifuta machozi, Tundu Lissu ahudhuria

    Bado umeshindwa kuifungua mkuu..?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wafanya party ya kujifuta machozi, Tundu Lissu ahudhuria

    Tulia wewe Maandazi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wafanya party ya kujifuta machozi, Tundu Lissu ahudhuria

    Katika kile kilichoonekana kujifuta machozi, vijana wa Chadema wakiongozwa na 4U movement wamefanya party kubwa jioni hii ya leo eneo la Kawe wakijifariji baada ya mapambano makali dhidi ya Chama dume CCM, ambacho kimewatoa jasho la meno. Katika tukio hilo, jambo la Ajabu lililoacha gumzo kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    Kwa inavyoonekana, huyo mzee Matson Chizi amefeli...,maana jamaa wamepokea kipigo cha mbwa mwizi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA yaaibika Dodoma

    Haujui tofauti ya uzito na wepesi wa hoja....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa UKAWA wanajua baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu wataendelea kuwa wapinzani

    Jiandae kutopiga kura maisha yako yote..,coz UKAWA haitashinda..
Back
Top Bottom