Recent content by Mteghanyi Kighobo

  1. Mteghanyi Kighobo

    Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Kwanza hicho sio chombo cha sadaka, hicho ni chombo cha karatasi za maombi, na hapo watumishi walikuwa wanaombea hayo maombi. Potelea mbali kama alifungua bahasha kutoa karatasi ya maombi maana maombi hayawekwi kwenye bahasha. Kama umeona mtumishi kafungua bahasha na ukaona kadokoa sadaka wakati...
  2. Mteghanyi Kighobo

    Mchezaji gani aliyestafu ungependa arudi uwanjani

    afadhali Boban alikwenda akarudi kuwa hana raha na huko ugenini kisa analipa kodi kubwaa, huyo Ngasa alikuwa Simba akawagombaniwa na El Mereikh na Yanga yeye akaamua kwenda Yanga, Rage akamshawishi kijana acha uboya kacheze nje utatoka, yeye akaona Rage msaliti wakamchukua Yanga. sasa hivi sijui...
  3. Mteghanyi Kighobo

    Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    mwenyeji ndio hupewa kipaumbele, yeye alikuwa na jezi nyeusi ambayo yanga ndio alikusudia kuitumia
  4. Mteghanyi Kighobo

    Hayati Magufuli aliwaamini sana marafiki zake Kagame na Bashiru

    So badala yake akaja nani kuwakilisha nchi??? nimeuliza tu, nimekaa paleeee
  5. Mteghanyi Kighobo

    Kwa sasa Yanga ndiyo timu inayocheza mpira mzuri barani Afrika

    Kwa mpira niliouona kule Unguja na Kipanga, nilioushuhudia kule Tunis ule wa marudiano na niliouona na Yanga pale Lupaso na wa jana sio Club Africain ile nilioiona mechi zote hizo. Na ukizingatia ndio timu inayopendwa pale Tunis lazima kuna kitu wanakijua, na sio muda mrefu wataumbuana. Muda...
  6. Mteghanyi Kighobo

    Abiria wa Precision Air waliokwama Bukoba kusafiri leo

    abiria ni 17 jumlisha pilot na msaidizi wake jumla ni 19. Kwani Pilot ni abiria????@Moise
  7. Mteghanyi Kighobo

    Vifo 19 katika ajali ya ndege Bukoba, muuaji apata kazi katika kikosi cha zima moto

    Kutokana na picha ile pua ya ndege ilipogonga ilikatika ndio ikaingiza maji
  8. Mteghanyi Kighobo

    Kwa muktadha wa Nusrat Hanje Chadema yaweza kuteua gaidi kuwa mbunge kwa sababu hawana vetting!

    kwa hiyo alikuwa manzese anakula bata, wafungwa na mahabusu sheria za kutoka zinafanana na wote wanaishi magerezani
  9. Mteghanyi Kighobo

    Nusrat Hanje akiri kutolewa gerezani usiku na kuapishwa kesho yake. Je, ni CHADEMA waliomtoa?

    Kuwapa fomu sina shaka ila wakala kiapo chini ya wakili gani, nani wakili atajitia kitanzi???
  10. Mteghanyi Kighobo

    Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Ndio imeshatokea sasa. Tuamue tuzikia hapahapa au tusafirishe????
  11. Mteghanyi Kighobo

    Droo ya Play-off, Yanga yapangwa na Club Africain ya Tunisia

    Sio Club African. Yanga imepangiwa na Pyramids ya Misri. Kauli mbiu yao ni IWE MVUA IWE JUA watapindua meza kibabe. Ila kwa mimi PARAPANDA yao imefika
  12. Mteghanyi Kighobo

    Inonga ndiyo Mkongo pekee aliyeitwa Timu ya Taifa je, hawa Wengine wasioitwa ni Wakongo kweli?

    Hata Diara aliitwa timu ya Taifa ya Mali lakini hadi mashindano yanakwisha alikuwa golikipa namba 3 hakucheza mechi hata moja hadi kurudi
Back
Top Bottom