Recent content by mtavana

  1. M

    Deni la Taifa lafikia Tzs trilioni 61.8

    Mbona kama ameeleza ongezeko la tn 28 ktk kipindi cha miaka 3, sasa tangu Nyerere inakuwa na Mantiki gani?
  2. M

    Bajeti ya Serikali mwaka wa fedha 2016/2017 itatisha sana

    Bila shaka ulisha wahi kusikia 1. Nakisi ya bajeti ie badjet deficit 2. Bajeti ya Tz hufadhiliwa kwa kiwango cha 30+%
  3. M

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Pathetic. Eti mnazo data nyingi sana and you are watching. Hizo data mnazo toka lini na mmezifanyia kazi gani kuisaidia nchi? Claiming to have useful information and you are just seated watching hardly differentiates you from punda aliyebeba mzigo wa thamani but hajui kilichomo or tell me the...
  4. M

    Hali ya mambo kati ya Uturuki na Urusi inazidi kuwa mbaya

    Kuwepo Uturuki pekee siyo reason enough ya wewe kujua kila kinachoendelea huko kwani inategemea unafanya nini. Yawezekana unabeba mabox na unakosa muda wa kufatilia news outlet mbalimbali juu ya mgogoro huo. Ngoja tukujulishe kinachoendelea pamoja na kuwa unajifanya uko huko Uturuki. 1. Mpaka...
  5. M

    Wasifu wa Deo Filikunjombe

    Tatizo hujaangalia vizuri ushauri huo ulitolewa mwaka 2012 na siyo leo mkuu
  6. M

    Zitto na Orodha ya wabunge waliosaini:

    Kweli bwana watu wawe very careful reading through lines.JF ni mtandao wa watu makini tuuu
Back
Top Bottom