Recent content by MTAtiro grandson

  1. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Msaada ni app gan nzuri ya screen record

    Habar zenu nahitaji kujuzwa ni app gani nzuri kwa ajil ya screen record maan nimeingia playstore naona nyingi nyingi tu
  2. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Mafundi decoder naomba tukutane hapa

    Kwa anaejua jinsi ya kukifanya king'amuzi cha startime kionyeshe channel zote free atupe maujuzi maana huku mtaani kwetu kuna majamaa wanapita nyumba hadi nyumba kufanya iyo kitu kwa buku teni
  3. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Hatma ya maisha yako unayo mwenyewe

    Twende pamoja na Mimi Je, ulishawahi kujiuliza kuwa kwanini kila mtoto mdogo anayezaliwa anakuwa amekunja ngumi? Hii ni kwasasabu HATIMA yake anayo mwenyewe. Katika kulitambua hili Kuna Mambo ya msingi ya kufahamu: 1. Unaweza kukutana na Mambo magumu sana sana na ya kukatisha tamaa anayeweza...
  4. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Wakuu tushirikishane keyboard nzuri kwa smartphone

    Chukua cheetah
  5. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Anayejua ubora wa simu aina ya Vivo

    Bora hata tecno kuliko hiyo vivo
  6. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kurudisha muamala wangu Airtel Money

    Hapo haitarud nusu saa imeshapita kama vipi kaushia tu alafu acha kubet fanya kazi hayo ndo madhara ya betting
  7. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Hizi pin code za halotel zinaboa kinyama

    Kwa sasa ukisajil laini mpya lazima iwe na pin code ni agizo kutoka tcra sawa
  8. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Tigo asanteni sana

    Hahahahaha mnapitwa na ving jaman
  9. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Hizi pin code za halotel zinaboa kinyama

    Ndio najua mim mpaka nishaga change zile zao nkaweka mpya ila kuweka off inazngua et pin code error
  10. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Tigo asanteni sana

    Unapiga *147*23# ndo unapata hiyo ofa ila kwa baadhi ya lain mpka iwe ya mda kidogo mim lain yangu ina miaka 9 saiv
  11. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Tigo asanteni sana

    Ni Tigo jaman hiyo natumia saiv
  12. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Hizi pin code za halotel zinaboa kinyama

    Mim ninayo ya airtel tokea mwaka jana imegoma na jana nimesajil halotel na yenyewe ikanambia hivyo hivyo pin error
  13. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Tigo asanteni sana

    Naona Tigo wamerekebisha vifurushi vyao
  14. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Hizi pin code za halotel zinaboa kinyama

    Hazitoki hizo pin kama umezikuta kwenye lain mpya ukiweka off inaandika pin error
  15. MTAtiro grandson

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Wi-Fi

    Nipe ip adress yako
Back
Top Bottom