Recent content by mtanzalendo

  1. mtanzalendo

    English Medium Teacher—Pre-school & Primary Class 1

    About the job We are Looking for TANZANIAN individuals with a diploma or bachelor’s degree in early childhood education and primary school education ONLY!!!! Teachers needed for Pre-School and primary class 1 ONLY!!!! Uru Community is a private pre & primary school located in Uru— kimanganuni...
  2. mtanzalendo

    Natafuta shule nijitolee kufundisha

    Kama bado haujapata nicheki PM mapema ukapate ajira kabisa.
  3. mtanzalendo

    Ubabaishaji wa UNICEF Tanzania

    Mkuu namna gani naweza report issues au malalamiko WFP?
  4. mtanzalendo

    Naomba msaada kuhusu Expression of interest

    Okay asante mkuu, naomba kwa kuwa wewe unamwangaza kidogo, kama hautojali unipe brief ya vitu gani haswa vinatakiwa kwenye hiyo document. Nitajie tu kwa bullets.
  5. mtanzalendo

    Naomba msaada kuhusu Expression of interest

    Hello everyone! Naomba msaada wa kupata sample/template ya 'expression of interest' kwa ajili ya individual consultants. Kuna sehemu nataka kupeleka maombi ya project management so wanachotaka ni expression of interest na mimi sijawai jaza hicho kitu. Hawataki application letter. Nikipata...
  6. mtanzalendo

    TAMISEMI mna tatizo gani?

    Ili ufundishe civics au general studies ni lazima usome political science chuoni. So inawezekana tamisemi wapo sahihi kama walitaka mwalimu wa civics.
  7. mtanzalendo

    TASAF mbona mpo kimya kuhusu matokea ya usaili uliofanyika toka mwezi Novemba mwaka jana kupitia utumishi

    Kwa ile oral interview ya dakika 5 bado una matumaini na hizo kazi mkuu? Nilifanya hiyo interview lakini sina matumaini sababu ya namna walivyoiendesha. Maybe watazitangaza next month maana nilisikia zitatoka January ila mwezi umeshakatika huu.
  8. mtanzalendo

    Njoo nikupe dili la January: Niuzie notes za grade 1 & 2

    Nimeshazioata mkuu, nimebakiza na numeracy.
  9. mtanzalendo

    Diamond hawa ndio wabongo, chukua ushauri wangu

    Dah huyu Diamond huyu kapigana vita nyingi.
  10. mtanzalendo

    Njoo nikupe dili la January: Niuzie notes za grade 1 & 2

    Habari wakuu, Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi English medium anicheki PM tufanye biashara. Nahitaji notes za grade 1 and 2. Masomo ni ASP kiswahili Writting Reading Health care and Environment Kusoma Numeracy Nicheki PM Au atume email kwenye mzalendo255@gmail.com
  11. mtanzalendo

    Uzi wa JF uliobadili maisha yangu. Nilikutana na Malaika

    Kila mwanzo wa mwaka huwa naupitia huu uzi uliobadili maisha yangu. Niliandika huu uzi nikiwa na mapito mengi sana ya kimaisha, ni kipindi ambacho siwezi kukisahau kwenye maisha yangu. Ndio kipindi nilijifunza kumbe inawezekana kabisa kijana mwenye nguvu zake anaweza kulala na njaa na leo...
  12. mtanzalendo

    Nanunua notes za Shule ya Msingi za masomo yote

    Nalitambua hilo ndio maana sijaangaika nao, pia notes zao za hii sylabus mpya zipo shallow vitu vingi vya msingi wameacha.
  13. mtanzalendo

    Nanunua notes za Shule ya Msingi za masomo yote

    Habari wakuu, Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi hususani English medium zilizo kwenye mfumo wa Soft Copy, Word Document au PDF anicheki PM tufanye biashara. Au atume email kwenye mzalendo255@gmail.com
  14. mtanzalendo

    Nahitaji proposal ya kufanya project

    Nifowadie tu kiroho safi bingwa usawa sio mzuri tungetoana tu.
Back
Top Bottom